Eneo walilosalia Waumini wa Gwajima Jumapili hapakaliki, Polisi waweka kambi

Kuna polisi hapo hawapendihuu ujinga ila hawana namna
 
kuomba msamaha siyo kudhalilika.ina maana kanisa zima halina bodi ya wadhamini ambao wanaweza kuomba msamaha kwa wizarz ya mambo ya ndani?
Kwa kosa gani sasa. Hata myngu si tunamuomba msamaha kwa kufanya makosa?
 
Kazi ya polisi ni yalaana ndiyo maana wanapata magonjwa mazito na umasikini baada ya kustaaf.
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
 
Mapolisi hawalipwi kabisa hapo kwenye hilo zoezi.
 
Kwa hiyo wewe unaona hakufanya makosa? Unaende madhabahuni kama msanii kwenda kuwananga wakuu wa nchi?
Wewe huelewi. Kwanza gwajima hajaongra aliyoongea akiwa madhabahuni. Kama alikuwa madhabahuni thibitisha. Pili hakuwananga watawala . Alichoongea gwajima ni kwamba watu WANATEKWA na kuuwa? Siyo kweli? Gwajima alikuwa na majina 83 kama ushahidi!
Nani alimua KIBAO
SOKA
MDUDE
BEN SANANE
Wewe unataka akaombe msamaha ati amewananga watawala ulitaka akaongelee wapi?
 
Sijakuelewa.Ile video akiwa anashangiliwa na waumini wake hukuiona? Ilikuwa inje ya kanisa au ndani?
 
Gwajima kwisha habari yake
 
Hiyo nguvu wanayotumia kuzuia watu,wangeitumia kuleta maendeleo tz ingekuwa kama marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…