USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
UJENZI WA MADARASA 9 YA KISASA SHULE YA SEKONDARI BIZIMYA.
Ni kazi ya usimamizi wa kiwango cha juu kutoka kwa mbunge wa kudumu wa biharamulo Mh Eng Ezra Chilewesa ,serkali ngazi ya wilaya ya biharamulo, Halmashauri ya wilaya chini ya chama dume chama cha mapinduzi ndio unaona madarasa haya ya kiwango cha SGR katika sekondari ya BIZIMYA .
Shule hii awali ilikuwa na changamoto ya idadi kubwa ya wanafunzi kuliko kiwango cha madarasa kinachostahili na sasa juhudi za mbunge Eng Ezra Chilewesa zimefanikisha hili , Fedha za uviko za serkali ya Mh rais Samia suluhu Hasan zimetumika.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Madarasa haya yanaleta ustaarabu wa kusoma kwa bidii kwa vijana na shauku ya kufikia kiwango cha uzalendo cha mbunge kwa watu wake na taifa lake .
AKIAHIDI ANATEKELEZA KUWA SHAHIDI NAMBA u
HAHIDI.