RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Tungeshakufa siku nyingi. Unajua kuna watu wanatembea faster kuliko average human being a anavyo jog?Kuna mtaalamu mmoja alisema jogging ni useless exercise, kama sijamnukuu vibaya inaharibu au inavuruga kazi za misuli muhimu.....ni metabolic interference ya hovyo kabisa katika mwili. Nafikiri njia sahihi ni kufanya mazoezi ya kutembea tu au kunyanyua vitu vizito kiasi kwa ajili ya misuli.