GE2025 Eng. Godwin Kamala aja na vipaumbele vitatu kwa wananchi wa jimbo la Kawe, Dar es salaam

GE2025 Eng. Godwin Kamala aja na vipaumbele vitatu kwa wananchi wa jimbo la Kawe, Dar es salaam

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,430

ENG. GODWIN KAMALA AJA NA VIPAUMBELE VITATU KWA WANANCHI WA JIMBO LA KAWE, DAR ES SALAAM​

Mhandisi Godwin John Kamala ambaye aliteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuwa Mgombea Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kawe Jijini Dar es Salaam ameendelea kunadi sera zake kwa Wajumbe wa Kata

Aidha, Mhandisi Godwin John Kamala amesema kuwa katika uongozi wake atakuwa na vipaumbele vitatu ikiwemo Wanawake (Kuwainua kiuchumi), Vijana (Elimu na Michezo) na Wazee (Bima za Afya) ambayo yote hayo yanapatikana katika Ilani ya CCM 2025-2030.

Mwisho, Mhandisi Godwin John Kamala ameendelea kunadi pia Sera mbalimbali atakazozisimamia na katika kipindi cha uongozi wake ambapo amewaomba Wajumbe wa Kata za Jimbo la Kawe kumpigia kura ya ndiyo ili awe chachu ya kuleta maendeleo makubwa kwenye jamii.
 
Back
Top Bottom