Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Kufanya vizuri kwenye michuano kunaongeza vitu, hamasa ya mashabiki kununua vitu vyenye nembo ya club, hamasa ga mashabiki kuja uwanjani, kuvutia makampuni makubwa kufanya kazi na wewe etc.. Hivyo vyote vinaenda sambamba.Ulishawahi kuendesha klabu hata cha pombe? Hakuna jambo gumu kwenye mpira mguu kama kupata faida, na wala asikudanganye mtu kuwa kwenye mpira kufika hatua fulani ya mashindano ndio inayoleta faida bali ni kujitahidi kwenye kutengeneza vyanzo vingi vya mapato kupitia wadhamini n.k
Chukua tu mfano wa Al Ahly je unajua thamani ya kikosi chao? Je walivyochukua kombe la klabu bingwa je ela waliopata inaendana na ela waliotumia kwenye kikosi chao?
Kufanya vizuri kwenye michuano kunaongeza vitu, hamasa ya mashabiki kununua vitu vyenye nembo ya club, hamasa ga mashabiki kuja uwanjani, kuvutia makampuni makubwa kufanya kazi na wewe etc.. Hivyo vyote vinaenda sambamba.
Kwa klabu kama ya yanga kufika nusu fainali inawasaidia sana kukata gap, sio sawa na al ahly sababu wao bill yao ya mshahara si mchezo.
Ili utambue kuwa ubunifu ndio unaoleta pesa na wala sio hilo taji, nakukumbusha hili tukio.Kufanya vizuri kwenye michuano kunaongeza vitu, hamasa ya mashabiki kununua vitu vyenye nembo ya club, hamasa ga mashabiki kuja uwanjani, kuvutia makampuni makubwa kufanya kazi na wewe etc.. Hivyo vyote vinaenda sambamba.
Kwa klabu kama ya yanga kufika nusu fainali inawasaidia sana kukata gap, sio sawa na al ahly sababu wao bill yao ya mshahara si mchezo.
Umeamua kutukana na kukashfu wenzako tu ila sidhani kama Yanga wanania ya kumsajili chama. Yule akiondoka hapo Simba anaenda Namungo au KMC. Keshachoka, mnamkuza kipindi cha usajili ili awapige Simba pesa wakati huu wa usajili. Chama keshachoka bro.Unachanganya lugha kila uki comment ila matumizi sahihi ya punctuation na grammar yanakushinda.
"Anyway", Simba ilikuwa mbovu na haina mchezaji wa kuingia kikosi cha kwanza cha Deportivo de Utopolo na Chama ana speed ya konokono ila leo Utopolo wote vyupi vimeloana na mkipanga first 11 yenu Chama hakosi.
ndo muda wake huu, Hata mo aliimbwa sanaHii milio ya makolo kuhusu Engineer Hersi imekuwa mingi sana🤣🤣