kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
Wote W alikuwa mpechempeche Sema mmoja akamuotea from no where rungu ya kisogoMechi ya NAMUNGO yanga alikua anafungwa SEMA NAMUNGO WALIKOSA TALENT PALE MBELE NA NILITABIR YANGA HII IKIKUTANA NA KIPIMO HALISI WANACHEZEA KOKI HUU MSIMU..
Magoma soon atakuwa shujaa
Simba sio YangaMpira tusiende nao hivyo. Hata hapo bado Yanga inaweza kwenda robo fainali kama ilivyokuwa kwa Simba baada ya kupoteza ugenini na Horoya kisha kupigwa nyumbani na Raja.
Ila kazi kubwa inatakiwa ifanyike na kuacha upuuzi wa kuiacha timu kwa mtu mmoja kama mali yake binafsi. Kuwe na watu kazi kadhaa warudishe ari ya timu ambayo sasa imetoweka.
Wachezaji wanacheza na hofu, pia wana hali ya kujitazama kama hawako sawa, na ni wazi kuondoka kwa Gamondi kumewapa hali ya kuchanyikiwa.
Nasisitiza, Yanga bado ina nafasi, na ikiamua inaweza kwenda robo fainali kibabe kabisa.
Ova
Siku zote wazo chanya la mtu mmoja tu ndio uleta mabadiliko makubwa, wengine wanasidiana naye katika kuleta Mageuzi.Timu ya Jeshi la mtu mmoja. Kila kitu Mhandisi
Walisema lazima wacheze fainali sasa sijui ni fainali za CAF and Crdb
🤣😂🤣Wote W alikuwa mpechempeche Sema mmoja akamuotea from no where rungu ya kisogo
Nmesikia pia, akafanye siasa atuachie yanga yetu. Gemu ya Tp mazembe nayo tutafungwa tena zaidi ya goli mbili.Naskia anataka ubunge
Anaitumia Yanga kama daraja
Yanga akifungwa na TP Mazembe ndiyo baba jeni.Nmesikia pia, akafanye siasa atuachie yanga yetu. Gemu ya Tp mazembe nayo tutafungwa tena zaidi ya goli mbili.
Anataka ubunge na urais wa CAF...Naskia anataka ubunge
Anaitumia Yanga kama daraja
Kwanza, naona nifafanue kuwa, mimi si shabiki wa Yanga, so usinihusishe kwa namna yoyote na matokeo yake ya uwanjani.Next mechi ni dhidi ya mazembe pale congo, mkikandwa bye bye 👋
Auna hoja ya msingi wewe zaidi ya kupuyanga tu,,yanapotokea matokeo mbaya Kila mwenye mdomo kuongea la kwake na ata maadui upitia njia iyo iyo kupenyeza ajenda mfu zilizokuwa na mashiko,,timu kupanda na kushuka ni kawaida ikichangiwa na mambo mengi na Engineer ni kiongozi Bora wa Mpira hapa nchini kama kwako sio Bora basi ni wewe na ajenda yako,,kafanya makubwa na ataendeleza kufanya makubwa kama mnadhani ataondoka Leo ama kesho pale yanga mnajidanganya tunajua yule ndio kizingiti kwa wajinga wajinga wachache wasioitakia mema klabu ivyo mtasubili sana!Katumia platform ya Yanga kujulikana CAF, kuongea na vilabu vikubwa vya Ulaya, kukutana na wachezaji wakubwa, n.k, lkn Yanga inazidi kudorora na kuporomoka.
Yanga ni ya kushindwa kuvuka makundi kweli? Ndiyo! Yanga haitavuka makundi, kwasabb mchezo ujao atakuwa DR Congo kucheza na TP Mazembe.
Unadhani atashinda mchezo huo? Na akisuluhu ama kupoteza, biashara imeishia.
Hata wachambuzi wa South Africa wanasema timu zitakazoingia robo ni MC Algiers na Al Hilaly ktk kundi hilo.
Eng ni mjanja mjanja tu. Yaani anasajili makapi ya Simba halafu anatudanganya atachukuwa kombe la klabu bingwa Africa!!