Eng. Hersi anatumia Yanga kujijenga yeye na siyo kuijenga Yanga

Eng. Hersi anatumia Yanga kujijenga yeye na siyo kuijenga Yanga

Nakuunga mkono aslimia 100
Tangu aingie Eng Hers Yanga imedaiwa na wachezaji wengi sana,anasajili mchezaji achezi anamvunjia mkaba,mfano okra harafu timu inapata madeni ni muda wa Sasa vilabu vianze kufanyiwa auding
 
Magoma soon atakuwa shujaa
Mpira tusiende nao hivyo. Hata hapo bado Yanga inaweza kwenda robo fainali kama ilivyokuwa kwa Simba baada ya kupoteza ugenini na Horoya kisha kupigwa nyumbani na Raja.

Ila kazi kubwa inatakiwa ifanyike na kuacha upuuzi wa kuiacha timu kwa mtu mmoja kama mali yake binafsi. Kuwe na watu kazi kadhaa warudishe ari ya timu ambayo sasa imetoweka.

Wachezaji wanacheza na hofu, pia wana hali ya kujitazama kama hawako sawa, na ni wazi kuondoka kwa Gamondi kumewapa hali ya kuchanyikiwa.

Nasisitiza, Yanga bado ina nafasi, na ikiamua inaweza kwenda robo fainali kibabe kabisa.

Ova
Simba sio Yanga
 
Ndugu mleta bandiko una haki ya kutoa maoni lakini ebu fafanua Engineer analeta ujanja ujanja na kutumia Yanga kunufaika kivipi?
Yeye na wenzake ndio walio pambana kuitoa Yanga kwenye bakuli na kuipa Mataji na kufanya vizuri kimataifa.
Sasa kama una amini yeye Engineer ana ihujumu Yanga, fafanua akisha maliza kui hujumu uo umaarufu na anacho kitaka atakipata vipi na kinacho mmbeba kwenye uo umaarufu ni Yanga!!!
Maana Yanga kama haifanyi vizuri maana yake nayeye anapoteza uo umaarufu.
 
Timu ya Jeshi la mtu mmoja. Kila kitu Mhandisi
Walisema lazima wacheze fainali sasa sijui ni fainali za CAF and Crdb
 
Timu ya Jeshi la mtu mmoja. Kila kitu Mhandisi
Walisema lazima wacheze fainali sasa sijui ni fainali za CAF and Crdb
Siku zote wazo chanya la mtu mmoja tu ndio uleta mabadiliko makubwa, wengine wanasidiana naye katika kuleta Mageuzi.
Yanga Haina inacho mdai Engineer , amefanya yote kwa uwezo wake wa kibinadamu akishauriana na wenzake kuifikisha apo ilipo.

Kwasasa yeye Engineer ndiye mmbeba maono wa Yanga kwaiyo sishangai aki popolewa mawe kwakua ata timu ikifanya vizuri sifa uwa Zina anzia kwake.

Ni jambo la kawaida kabisa kwa yeye kushutumiwa kwakua ata timu inapo sifiwa, Yeye Engineer hubeba sifa za kutosha kuliko wengine.
 
Hata kama lakini unakumbuka kuwa Yanga inafungwaje?
 

Attachments

  • Screenshot_20241116-181034_1.jpg
    Screenshot_20241116-181034_1.jpg
    193.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241203-221155_1.jpg
    Screenshot_20241203-221155_1.jpg
    270.1 KB · Views: 1
Next mechi ni dhidi ya mazembe pale congo, mkikandwa bye bye 👋
Kwanza, naona nifafanue kuwa, mimi si shabiki wa Yanga, so usinihusishe kwa namna yoyote na matokeo yake ya uwanjani.

Pili, nikukumbushe, msimu uliopita Yanga ilienda robo fainali katika mashindano hayahaya baada ya kushinda mechi mbili tu.

Ilipata sare mbili na ikapoteza mechi mbili, kwa maana ya kusonga mbele kwa points nane tu, ambazo bado Yanga ina uwezo wa kuzipata.

Ova
 
Katumia platform ya Yanga kujulikana CAF, kuongea na vilabu vikubwa vya Ulaya, kukutana na wachezaji wakubwa, n.k, lkn Yanga inazidi kudorora na kuporomoka.

Yanga ni ya kushindwa kuvuka makundi kweli? Ndiyo! Yanga haitavuka makundi, kwasabb mchezo ujao atakuwa DR Congo kucheza na TP Mazembe.

Unadhani atashinda mchezo huo? Na akisuluhu ama kupoteza, biashara imeishia.

Hata wachambuzi wa South Africa wanasema timu zitakazoingia robo ni MC Algiers na Al Hilaly ktk kundi hilo.

Eng ni mjanja mjanja tu. Yaani anasajili makapi ya Simba halafu anatudanganya atachukuwa kombe la klabu bingwa Africa!!
Auna hoja ya msingi wewe zaidi ya kupuyanga tu,,yanapotokea matokeo mbaya Kila mwenye mdomo kuongea la kwake na ata maadui upitia njia iyo iyo kupenyeza ajenda mfu zilizokuwa na mashiko,,timu kupanda na kushuka ni kawaida ikichangiwa na mambo mengi na Engineer ni kiongozi Bora wa Mpira hapa nchini kama kwako sio Bora basi ni wewe na ajenda yako,,kafanya makubwa na ataendeleza kufanya makubwa kama mnadhani ataondoka Leo ama kesho pale yanga mnajidanganya tunajua yule ndio kizingiti kwa wajinga wajinga wachache wasioitakia mema klabu ivyo mtasubili sana!
 
Huyu alikuja kwenye mpila kutafuta umarufu tu mwakan anagombea ubunge
 
Back
Top Bottom