Eng Hersi ashinda tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango zaidi Africa

Eng Hersi ashinda tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango zaidi Africa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng. Hersi Said ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango kwenye maendeleo ya mpira wa miguu barani Afrika.

Shamrashamra za kutunuku tuzo hizi za Nigeria-France Sports Awards, zilifanyika juzi jijini Paris, Ufaransa na Tuzo hiyo ya Rais Hersi ilipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa na Mwakilishi wa Kudumu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Mhe.Ali Jabir Mwadini.

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

NB: Je Ina maana kina mangungu wanafanya Nini ...Hadi hawatambuliki??[emoji32]
1729763691422.jpg
 
Back
Top Bottom