Eng Hersi ashinda tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango zaidi Africa

Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng. Hersi Said ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango kwenye maendeleo ya mpira wa miguu barani Afrika.

Shamrashamra za kutunuku tuzo hizi za Nigeria-France Sports Awards, zilifanyika juzi jijini Paris, Ufaransa na Tuzo hiyo ya Rais Hersi ilipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa na Mwakilishi wa Kudumu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Mhe.Ali Jabir Mwadini.

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

NB: Je Ina maana kina mangungu wanafanya Nini ...Hadi hawatambuliki??[emoji32]View attachment 3134141
Watasema bahasha zimetembea.
 
Alikuwa anashindana na nani?, ili ushinde tuzo inabidi ushindanishwe. Tupe orodha ya washindani wake na majina ya waliowahi kushinda tuzo hiyo kabla yake. Vinginevyo, mmeamua kujitunuku
 
Je hiyo tuzo unajua inatolewa na nani na kwa madhumuni gani
 
Tuzo siku hizi watu wana nunua hata burna boy ana tuzo ila tunajua kazipataje.
 
Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng. Hersi Said ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango kwenye maendeleo ya mpira wa miguu barani Afrika.

Shamrashamra za kutunuku tuzo hizi za Nigeria-France Sports Awards, zilifanyika juzi jijini Paris, Ufaransa na Tuzo hiyo ya Rais Hersi ilipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa na Mwakilishi wa Kudumu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Mhe.Ali Jabir Mwadini.

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

NB: Je Ina maana kina mangungu wanafanya Nini ...Hadi hawatambuliki??[emoji32]View attachment 3134141
Watakuja watu waseme ni bahasha kimataifa.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
JamiiForums1222824732.jpeg
 
Back
Top Bottom