SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kwamba CAF wanatubeba[emoji23][emoji23]
Uto bana. Sasa hizo tuzo zinahusiana vipi na CAF?Wataanza kusema CAF inadhaminiwa na GSM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba CAF wanatubeba[emoji23][emoji23]
Uto bana. Sasa hizo tuzo zinahusiana vipi na CAF?Wataanza kusema CAF inadhaminiwa na GSM.
Tumia dawa tatu kupoza maumivu ya kichwa na tumbo la hedhiHakuna Shirikisho la vilabu Afrika kuna umoja wa vilabu,acheni kumpachika vyeo ambavyo havipo huyo kuwadi na dalali wa GSM.
Na Mangungu"ashinda" - Alishindanishwa na nani ndugu?
Na Mangungu
KajulaHapo ni sawa, halafu Nani akashinda Kaka? Sina taarifa!
Kajula
Hahahaaaa!Wazee wa simba wataitisha press tena.
kindakindakiKumbe naww n mwananch
Sahihi kabisa mkuuAnawabeba Ma Eng wenzie jamaa yupo sawa sana atafika mbali huko CAF maana mfumo wa FIFA sasa hivi wanapendelea viongozi wa vilabu ndio wawe kwenye nafasi za juu kwenye kuendeleza soka la Dunia kama Wenger na watu wengine waliopo huko..