Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Siyo wote wanaoingia viwanja vya mpira huwa wanaangalia mechi yenyewe, wapo wenye macho mazima kabisa lakini uwanjani haangalii hata Sekunde moja.Sasa hawa hawaoni wakiingia wataenda kushuhudia nini? Offer nyingine ni changamoto sana
Matokeo ya mechi ndio yatakuduwaza na kujiona wewe ndio huna akili.Ni Africa pekee, akili ikizidi sana unakua ujinga
Yeye katoa tiketi, wewe kawanunulie facilities kama umeona wana upungufu. Kila mtu hutoa kinachomgusa moyoni.Hizo fedha za tiketi angewanunulia facilities za kuwasaidia kujiingizia kipato katika shughuli zao za kila.siku.
Pesa sio kila kitu aisee akili pia ni muhimu.
Raha yao wakasikilize mkuu, usichukulie poaSasa hawa hawaoni wakiingia wataenda kushuhudia nini? Offer nyingine ni changamoto sana
Wapo wenye uoni hafifu sio kwamba wote ambao hawaoni kabisa Ila wote wamejumuishwa kwenye kundi moja la wasioona😂😂😂wanaenda kusikiliza
Huu ni ukweli wengine wanaingia uwanjani Ila wanakua na mishe zingine hawafocus na kuangalia mpira km umeenda uwanjani mara kwa mara lazima utakua umewaonaSiyo wote wanaoingia viwanja vya mpira huwa wanaangalia mechi yenyewe, wapo wenye macho mazima kabisa lakini uwanjani haangalii hata Sekunde moja.
Una akili timamu?Watu tu wanashindwa kuelewa
Jamaa katoa tiketi za bure ili wakashuhudie sio wakaone.
Ila mkifunngwa tu lazima waone maumivu
kwamba walemavu hawana mahitaji mengine zaidi ya pesa?
Kumbe na wewe unafikiria kuhusu dunia.. 🥴🥴Matokeo ya mechi ndio yatakuduwaza na kujiona wewe ndio huna akili.
Tumia sense ya 5 kufikiri dunia utaiona kivingine.
Dah.View attachment 2828385
Eng Hersi ametoa tiketi kwa wanachama wa tawi la wasiyoona hapa kinondoni kushuhudia mchezo wa Al Ahly. Eng Hersi ameahidi haya kwenye uzinduzi wa tawi hilo jipya lenye wanachama 138 wasiyoona
Sent using Jamii Forums mobile app
Utimamu ninao ila akili sina.Una akili timamu?