Eng. Hersi: Haji Manara sio Msemaji wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpa

Eng. Hersi: Haji Manara sio Msemaji wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpa

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
“Haji Manara kwasasa ni Mwanachama hai wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpatia klabuni. Yanga inaye Afisa habari (Alikamwe) ambaye ndiye anaisemea Klabu” Injinia Hersi

Kwa mnavyomjua zungu lazima ata react vibaya, maana alijua akitoka kifungoni atarudi nafasi yake, ila kakuta Alikamwe kashatengeneza ufalme wake, na alivyo na bifu na Alikamwe patachimbika 😅😅😅

Mzee akubali tuu muda wake umeisha, sitoshangaa mzee WA kupanic akiingia msituni na mzee magoma
ricardomomo_bfbf67d1c41b40278c182e06ca093945.jpg

 
Back
Top Bottom