joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Akawasifia na watani wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Kazi pekee inayomfaa Manara kwa sasa ni kuwatafutia mademu wachezaji wa Yanga na kuwaozesha siku ya tamasha la wananchi (Yanga day)
Pole sana zunguRoho za watanzania ndio hizi, wanafurahi mtu akiyumba maisha
😅😅Haji Kwa sasa nalingana nae cheo sote ni wanachama watiifu, tunamiliki kadi za kielectronic hivo atulie tu
Haswa akiyumbishwa na watu aliowaona ndugu zake na kutukana wengne huwa tunafurahi sana na bado haijatosha tunatamani hata hiyo kazi ya kutafutiwa pia ikosekane ili ajue anaishi na watu wa aina ganiRoho za watanzania ndio hizi, wanafurahi mtu akiyumba maisha
Shida kak yako Manara ni chuki zake...Eng. Hersi kajua kunifurahisha☺️
Nimemsamehe kwa kumtimua Guede akee🙌
Yule sio mzima! Simkubali Haji manara na misifa yake😂Shida kak yako Manara ni chuki zake...
Sasa hata haongeia na Ally kamwe ambae ni msemaji halali huyo ni mzima kweli?
Nilicheka sana siku ile zile clipManara ataanza kulia kama alivyolia kwa babra
Au sio...Wewe sasa ivi ni mnyama Acha hicho kichaa
😊😊😊😊😊😊😊Subiri bado naendelea kujifikiria😉
🤔na kuta tag mara nyingi una kausha 🥲Au sio...
Nimeipenda hiii
Anyway wanaume wa Dar mnajuana sisi huku mikoani acha twende shambaHaswa akiyumbishwa na watu aliowaona ndugu zake na kutukana wengne huwa tunafurahi sana na bado haijatosha tunatamani hata hiyo kazi ya kutafutiwa pia ikosekane ili ajue anaishi na watu wa aina gani
Wapi sasa jamani mbona sijaona...😊😊😊🤔na kuta tag mara nyingi una kausha 🥲
Naam hapa nimeona...
Ndugu yako anataka kunivunjia mahusiano yangu🙄Naam hapa nimeona...
Mimi nipo na nyie mpka tupande Esther au Tilisho...😀😀😀😀😀