Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heee...jamani...yupi sasa🙄🙄🙄Ndugu yako anataka kunivunjia mahusiano yangu🙄
Kwani jamaa kada ndio bado uko nae hadi apate teuzi?Unanichekeshaga unavyoshangaa😂
Nilimwambia min -me lakini hasikii🙄
Ndio mkuu nataka kua mke wa mheshimiwa☺️Kwani jamaa kada ndio bado uko nae hadi apate teuzi?
Dogo anapotea mazima...huko atavalishwa mavitenge na makanga ya kijani....Kwani jamaa kada ndio bado uko nae hadi apate teuzi?
Hua anasema makonda kabubujisha wananchi machozi, nadhani akipata teuzi utabubujishwa machozi ya furahaNdio mkuu nataka kua mke wa mheshimiwa☺️
Dada ake! wewe unamtaka yupi?🤔Dogo anapotea mazima...huko atavalishwa mavitenge na makanga ya kijani....
Nyie tutaongea baadae...humu mnavuruga uzi wa GSM au twendeni kule JF snapika...sikiliza ushauri sasa😉
Usiniulize najua unajua🥰🥰...na ushauri nishakupa..ila unakua sio msikivu..😊😊😊☺☺☺Dada ake! wewe unamtaka yupi?🤔
🤣 kwa lugha nyepesi kwamb afanye uasi sio ?Kwasisi watoto wa Kota za mikocheni ,hili linamuhamasisha bwana Manara kuingia msituni na gaidi Magoma ili kuendelea kupambana na serikali ya Yanga hivyo ni suala la muda kumuona Haji akiwa porini anapambana na majeshi ya serikali 😃😃😃
Watakuwa wekundu wote...😃😃😃Hizo hasira zote leo atazimaliza kwa Zaylissa
Mchaga?😉Usiniulize najua unajua🥰🥰...na ushauri nishakupa..ila unakua sio msikivu..😊😊😊☺☺☺
Kivumbiiii na Haji anakuwaga mwezi mchanga yule, sijui km atamnonino zay 🤣🤣🤣Watakuwa wekundu wote...😃😃😃