Eng. Hersi: Haji Manara sio Msemaji wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpa

Eng. Hersi: Haji Manara sio Msemaji wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpa

Akawasifia na watani wake.
Screenshot_20240821_202626_Instagram.jpg
 
Haswa akiyumbishwa na watu aliowaona ndugu zake na kutukana wengne huwa tunafurahi sana na bado haijatosha tunatamani hata hiyo kazi ya kutafutiwa pia ikosekane ili ajue anaishi na watu wa aina gani
Anyway wanaume wa Dar mnajuana sisi huku mikoani acha twende shamba
 
Back
Top Bottom