Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ukiona watu wengi wanafurahia anguko lako basi jitafakari una tatizo sehemu.Roho za watanzania ndio hizi, wanafurahi mtu akiyumba maisha
Haji ataungwa mkono wa wapuuzi wenzake tu na siyo kwa mtu mwenye akili nzuri.
Kama kuna kitu GSM ametukosea Yanga ni kutuletea hii takataka yake.
Na for your information Haji hajayumba huyohuyo GSM ndio atajuwa ampe kazi wana nafasi nyingi tu na wana makampuni mengi na hili ndio limekuwa ombi letu wamchukuwe Manara Yanga hatumtaki kwa tabia zake za kupandikiza chuki na domo bwabwaja.