Eng. Hersi itafikia hatua mashabiki na wanachama watauvua uvumilivu wao kwako

Eng. Hersi itafikia hatua mashabiki na wanachama watauvua uvumilivu wao kwako

vibertz

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2022
Posts
3,128
Reaction score
5,862
Ukiangalia panda shuka za Yanga kwa kiasi kikubwa kimechangiwa na uongozi wa Yanga kwa kufanya makosa kadhaa ambayo inawapa mashaka kuwa sasa kazi inafanywa kwa hisia, au kwa kubahatisha tu.
Eng. Hersi amekuwa na mwendelezo wa kuvurunda katika usajili wa wachezaji na makocha hasa hasa kwa kushindwa kufanya replacement sahihi. Kamuacha Miloud ambaye alikuwa ndiye kocha wa tatu Yanga kubahatika kumpata, katika makocha ambao wana uwezo wa kuokoa mwenendo wa timu, mbinu na ufundi sahihi kwa haraka. Ila pamoja na kazi kubwa aliyofanya na mwisho wa msimu Yanga ikasherekea mataji yote ya ndani ukamfungia vioo. Na kuleta kocha asiyeendana na falsafa ya timu, mbinu na ufundi ikawa ni changamoto. Timu ikawa tia maji tia maji.

Safari hii tena umeleta kocha ambaye ameshindwa kuifanya timu iwe na muendelezo wa ubora, kadri siku inavyoenda timu inashuka tu. Kuondoka kwa Manqoba inatakiwa iwe ni suluhisho la kuirudisha Yanga katika ubora wake kwa kumleta kocha ambaye anaweza kuwa na akili kubwa kimpira na akaweza kuifanya timu i click kwa muda mfupi kama alivyofanya Miloud. Pia leta kocha wa viungo anayefaa. Hili ni nafasi ya kurekebisha sasa ukileta watu wa hovyo tena watu watakosa imani na wewe. Tetesi nilizosikia kuhusu Saed Ramovic kama ikiwa ni kweli basi umeishiwa uwezo wa kufikiria na unaifanya Yanga kama sehemu ya majaribio. Kwavile ni tetesi siwezi kulipngelea hilo kwa upana ila tu hamna kocha wa kuifanya irudi kwa haraka katika kiwango chake.

Pia niongelee kidogo kuhusu makundi ya ligi mabingwa ambapo Yanga ipo kundi la timu za waarabu tupu. Yanga iliyoanza msimu ikiweza kurudishwa kisha ikaongezeka kidogo basi hakuna wasiwasi wa kufuzu robo fainali. Nadhani watu mnakumbuka namna yanga ilivyokuwa katika mechi za awali za msimu huu, tena wachezaji walikuwa ndio hawa hawa wakina Kangwanda. Tunahitaji nini?
1. Kocha ambaye ni mkali katika kusimamia nidhamu za wachezaji na pia awe mzuri katika program za kurudisha timu kwa haraka kama alivyokuwa amefanya Miloud
2. Kocha ambaye ni mzuri wa kujua mapungufu na uzuri wa kila mchezaji ili aweze kutengeneza team iliyokamilika inayoweza kusaidiana majukumu kwa kiwango kikubwa.
3) kocha mwenye ufundi na mbinu na aliyekuwa na uzoefu na mafanikio katika klabu bingwa
4) kocha wa viungo wa kuweza kurudisha utimamu wa wachezaji.
5) uongozi wa treat wachezaji wote sawa, hakuna mchezaji spesho kwenye timu hii inatengeneza ufadha kwenye timu. Hili linatakiwa lifanyiwe kazi wachezaji wawe pamoja na wajitume.
6) FIFA calendar itumike vizuri

Yanga hakuisajili wachezaji wa maana sana lakini angalau tuone ile Yanga iliyoanza msimu ndio tuendelee nayo sasa, sio Yanga hii iliyopo sasa ni aibu kuitazama.
 
Saed Ramovic ni mjanja mjanja tu sio kocha wa maana.

Watu wanatumia hisia tu lakini timu yake ilikuwa nyepesi sana.

Hata hiyo gusa achia twende kwao ilikuwa kwa mashabiki na Ally Kamwe zaidi ila kwa wachezaji uwanjani ilikuwa ni mpira wa tofauti na wa wakaida sana.

Matokeo yake tukashindwa kumfunga MC Alger hata goli moja ambalo lingefanya tutinge robo fainali.

Tena tulishindwa kumfunga tukiwa nyumbani.

Baada ya hiyo mechi akaondoka kwa jeuri na ufedhuli akiita ligi ya Tanzania dhaifu na haina timu nyingi za ushindani kuliko ligi ya Algeria ndio maana tukafungwa.

Kwa kifupi ni mweupe sana.

Kama kweli injinia wamemrudisha huyu tapeli waandae na pesa za kuvunja mkataba kabisa.
 
Naona yanga wanazidi kuchizika tu.
Pamoja na kuwa na strikers wenye majina kama shalulile naona kabisa wanaenda kuwa wa mwisho kwenye kundi
 
Miloud aliondoka baada ya kupata ofa kubwa zaidi Misri. Timu zetu bado hazina msuli wa pesa kumbakisha mchezaji au kocha anaehitajika Misri au South africa.

Makocha ambao wameshatengeneza CV zao kuvunja mikataba ni ghari sana. Ndio maana unaona tunakimbilia zaidi kwa makicha ambao ni free agent.

Suala la kupata wachezaji wazuri sio rahisi kihivyo. Afrika finest talents zetu tayari zipo ulaya. Hapa afrika wamebaki magarasa tu. MVP wangapi wameletwa na yanga na simba na ligi ikawashinda? Lazima tuwe na jicho kali sana la kuwaona wachezaji wazuri kabla hawajaonwa na wakubwa. Tatizo ni hata tukiwapata hawakai. Wakifanya vizrui msimu mmoja tu wakubwa wanakuja kuwachukua, na kutengenza kikosi ni mchakato wa madirishaji matatu mpaka manne
 
Mkuu hizo stori za vijiweni, timu gani ya kuweza ku beat na Yanga unayoingolea hapo? Al Ismaily ndio impe Miloud ofa kubwa kuliko Yanga? Sio kila timu iliopo uarabuni basi ndio inapesa, hiyo timu imejichokea ndio maana hawana uwezo wa kufanya usajili wa maana na kuishia kuburuza mkia na kugombea nafasi za kushuka daraja.

Miloud hawezi kwenda kwenye timu inayoshuka daraja akaiacha timu inayoenda kucheza klabu bingwa. Mbona alihojiwa na kusema kuwa alikuwa anasubiria kupewa mkataba mpya baada ya kuisha mkataba wake ila kashangaa uongozi hawamuiti kuzungumzia mkataba mpya, ndipo akatafuta timu.

Kulikuwa na video humu humu JF ya mahojiano, sijui tu ni uzi upi.
 
Siyo wanasimba sisi.
Ninyi mnaomtaka Ramovic ndiyo shabiki wa Simba ili mje muwacheke uongozi wa Yanga.
Huyo siyo kocha mzuri hasa kwa mpira wetu wa Afrika.
 
Miloud aliondoka baada ya kupata ofa kubwa zaidi Misri. Timu zetu bado hazina msuli wa pesa kumbakisha mchezaji au kocha anaehitajika Misri au South africa.

Makocha ambao wameshatengeneza CV zao kuvunja mikataba ni ghari sana. Ndio maana unaona tunakimbilia zaidi kwa makicha ambao ni free agent.

Suala la kupata wachezaji wazuri sio rahisi kihivyo. Afrika finest talents zetu tayari zipo ulaya. Hapa afrika wamebaki magarasa tu. MVP wangapi wameletwa na yanga na simba na ligi ikawashinda? Lazima tuwe na jicho kali sana la kuwaona wachezaji wazuri kabla hawajaonwa na wakubwa. Tatizo ni hata tukiwapata hawakai. Wakifanya vizrui msimu mmoja tu wakubwa wanakuja kuwachukua, na kutengenza kikosi ni mchakato wa madirishaji matatu mpaka manne
Miloud Yanga walimtimua wao wenyewe, mfano wewe ndio kocha mkuu kwenye timu A then kabla hata msimu kuisha unaskia tetesi hiyo timu A inatafuta kocha mkuu, wewe kama kocha mkuu wa hiyo timu A kwa wakati huo unapata picha gani apo?? si maana ake wanakuona hutoshi

Na naamini hata kwa Aucho, Depu na Okello sio kweli kama sijui walipata ofa kubwa hamna lolote ni Yanga wenyewe chini ya Injinia wameondoa hizo quality kwa sababu ambazo hazina tija mwishoe wameenda kuokota viazi akina Toure , Selemani, Komaro sijui Zakwani, mfano kuna Timu kwa vipindi tofauti zilikuwa zinawahitaji Aziz Ki, Pacome na Mzize mbona kwa hao yanga waliweza kuwabakisha.

Ni kuna decisions za kiwaki saiv zinaendelea kwenye hii timu, af zigo la lawama anakuja kuaangushiwa kocha kila msimu.
 
Yule Damaro ambaye alikuwa anacheza kama mchezaji wa ndani, sijui nini kiliwafanya wamrudishe kule Singida wakati alikuwa anaitumikia Yanga kwa mkopo. Hakuwa na ubora mkubwa ila alikuwa anasaidia kulingana na aina ya mechi. Halafu kwanzia aondoke Miloud Yanga haijafanikiwa kurejea katika ule ubora wake
 
Huyu Jamaa engineer amekuwa akifanya mistake za kujirudia rudia,kuanzia usahljili WA makocha mpaka wachezaji NI kubahatisha bahatisha.

Angalia wachezaji wanafanya vizuri Yanga NI wale wale WA misimu miwili mpaka mitatu iliyopita hakuna mchezaji mpya anayemchallenge mchezaji WA zamani NI ujinga mtupu.

Huyu Jamaa aombe Tu CAF timu yetu ifanye vizuri huyu engineer NI kirusi pale Yanga Tatizo tukiongea Watu watasema tuna chuki,kocha aliyeondoka anailaani ligi yetu Leo unamrudisha afanye nini, nadhani NI wakati sahihi WA huyu bwana kuachia timu
 
Hii milio ya makolo kwa Sead Ramovic imekuwa mingi leo!
Kama unaona wanaosema hivyo ni makolo basi mahaba ya uyanga unakusumbua. Wanaosema kuhusu Saed Ramovic ndio hao hao wenye jicho la mpira na kumuona Manqoba anaiporomosha Yanga, mapema kabisa. Leo yuko wapi? Ndio hao hao tunarudia tena kusema Yanga kipindi cha Hersi imepata makocha wazuri watatu pekee ( Nabi, Gamond na Miloud) tofauti na hapo hamna kocha wa maana. Huyo Saed si ndio aliyetoa sababu kuwa ligi yetu ya Tanzania haina intensity?
 
Kocha mmetimua kwa ku panic tu kwasababu mlifungwa na Simba.

Sasa kashinda mechi zote kasoro moja kafungwa na nyingine draw. Hizo ni sababu za kumtimua kocha ambaye amewavusha kwa kishindo kwenda CAF group stage na akiwa hana hata miezi minne tokea aanze kazi Wewe unaona hiyo ni akili timamu?

Hapo viongozi ndo hawataki wanyooshewe vidole wao, wanahamisha attention kwingine na siyo kwao.

Kumfukuza huyo kocha ni mambo ya kitopolo kabisa.
 
Mkuu hizo stori za vijiweni, timu gani ya kuweza ku beat na Yanga unayoingolea hapo? Al Ismaily ndio impe Miloud ofa kubwa kuliko Yanga? Sio kila timu iliopo uarabuni basi ndio inapesa, hiyo timu imejichokea ndio maana hawana uwezo wa kufanya usajili wa maana na kuishia kuburuza mkia na kugombea nafasi za kushuka daraja.
Miloud hawezi kwenda kwenye timu inayoshuka daraja akaiacha timu inayoenda kucheza klabu bingwa. Mbona alihojiwa na kusema kuwa alikuwa anasubiria kupewa mkataba mpya baada ya kuisha mkataba wake ila kashangaa uongozi hawamuiti kuzungumzia mkataba mpya, ndipo akatafuta timu. Kulikuwa na video humu humu JF ya mahojiano, sijui tu ni uzi upi.

Egypt uchumi wao mkubwa. Hata timu ambayo sio kubwa inaweza kutuzidi kiuchumi timu zetu kubwa hapa. Miloud alienda yanga kama interim coach, ni proffesional anajua kwamba alipewa timu kwa muda mfupi kwaiyo haiwezi kuwa na entitlement na hiyo nafasi. Alivyosema anasubiri mkataba hainaanishi ya kwamba alikua tayari kwa mkataba wowote. Na yeye pia ana matakwa yake kwahiyo hatujui walishindwana kwenye vipengere gani
 
Tatizo LA hersi anachanganya mpira Na siasa,alafu anaamini hizo nafasi za uongozi alizo nazo zitaifanya yanga ifikie malengo,huku akitumia hiyo nafasi kuungana Na wageni kuiyumiza Simba,mshamba moja this hivi,ni mtu duni kabisa

Mimi nafikiri hersi tayari ameishiwa maarifa au mwanzoni alifanya vizuri kwa sababu wapinzani walim-underestimate na sasa hivi tayari washajua huyu sio wa kumchukulia poa kwahiyo wanampa upinzani mkali.
 
Miloud Yanga walimtimua wao wenyewe, mfano wewe ndio kocha mkuu kwenye timu A then kabla hata msimu kuisha unaskia tetesi hiyo timu A inatafuta kocha mkuu, wewe kama kocha mkuu wa hiyo timu A kwa wakati huo unapata picha gani apo?? si maana ake wanakuona hutoshi

Na naamini hata kwa Aucho, Depu na Okello sio kweli kama sijui walipata ofa kubwa hamna lolote ni Yanga wenyewe chini ya Injinia wameondoa hizo quality kwa sababu ambazo hazina tija mwishoe wameenda kuokota viazi akina Toure , Selemani, Komaro sijui Zakwani, mfano kuna Timu kwa vipindi tofauti zilikuwa zinawahitaji Aziz Ki, Pacome na Mzize mbona kwa hao yanga waliweza kuwabakisha.

Ni kuna decisions za kiwaki saiv zinaendelea kwenye hii timu, af zigo la lawama anakuja kuaangushiwa kocha kila msimu.

Depu na okello walipata ofa kubwa. Tunaona pesa waliyonunuliwa na mishahara wanayolipwa uko walipoenda ni pesa ndefu kwa level za timu zetu hapa bongo. Aucho alishafikia peak yake akua na maajabu tena zaidi ya alipofika pia alishaanza kuandamwa na majeruhi. Alipewa mkataba wa mwaka mmoja akakataa. Alitaka miaka mitatu.

Injia kama binadamu ana madhaifu yake lakini tusitoe mambo nje ya context kuhalalisha hisia zetu
 
Back
Top Bottom