Mkuu hizo stori za vijiweni, timu gani ya kuweza ku beat na Yanga unayoingolea hapo? Al Ismaily ndio impe Miloud ofa kubwa kuliko Yanga? Sio kila timu iliopo uarabuni basi ndio inapesa, hiyo timu imejichokea ndio maana hawana uwezo wa kufanya usajili wa maana na kuishia kuburuza mkia na kugombea nafasi za kushuka daraja.Miloud aliondoka baada ya kupata ofa kubwa zaidi Misri. Timu zetu bado hazina msuli wa pesa kumbakisha mchezaji au kocha anaehitajika Misri au South africa.
Makocha ambao wameshatengeneza CV zao kuvunja mikataba ni ghari sana. Ndio maana unaona tunakimbilia zaidi kwa makicha ambao ni free agent.
Suala la kupata wachezaji wazuri sio rahisi kihivyo. Afrika finest talents zetu tayari zipo ulaya. Hapa afrika wamebaki magarasa tu. MVP wangapi wameletwa na yanga na simba na ligi ikawashinda? Lazima tuwe na jicho kali sana la kuwaona wachezaji wazuri kabla hawajaonwa na wakubwa. Tatizo ni hata tukiwapata hawakai. Wakifanya vizrui msimu mmoja tu wakubwa wanakuja kuwachukua, na kutengenza kikosi ni mchakato wa madirishaji matatu mpaka manne
Miloud Yanga walimtimua wao wenyewe, mfano wewe ndio kocha mkuu kwenye timu A then kabla hata msimu kuisha unaskia tetesi hiyo timu A inatafuta kocha mkuu, wewe kama kocha mkuu wa hiyo timu A kwa wakati huo unapata picha gani apo?? si maana ake wanakuona hutoshiMiloud aliondoka baada ya kupata ofa kubwa zaidi Misri. Timu zetu bado hazina msuli wa pesa kumbakisha mchezaji au kocha anaehitajika Misri au South africa.
Makocha ambao wameshatengeneza CV zao kuvunja mikataba ni ghari sana. Ndio maana unaona tunakimbilia zaidi kwa makicha ambao ni free agent.
Suala la kupata wachezaji wazuri sio rahisi kihivyo. Afrika finest talents zetu tayari zipo ulaya. Hapa afrika wamebaki magarasa tu. MVP wangapi wameletwa na yanga na simba na ligi ikawashinda? Lazima tuwe na jicho kali sana la kuwaona wachezaji wazuri kabla hawajaonwa na wakubwa. Tatizo ni hata tukiwapata hawakai. Wakifanya vizrui msimu mmoja tu wakubwa wanakuja kuwachukua, na kutengenza kikosi ni mchakato wa madirishaji matatu mpaka manne
Yule Damaro ambaye alikuwa anacheza kama mchezaji wa ndani, sijui nini kiliwafanya wamrudishe kule Singida wakati alikuwa anaitumikia Yanga kwa mkopo. Hakuwa na ubora mkubwa ila alikuwa anasaidia kulingana na aina ya mechi. Halafu kwanzia aondoke Miloud Yanga haijafanikiwa kurejea katika ule ubora wakeMiloud Yanga walimtimua wao wenyewe, mfano wewe ndio kocha mkuu kwenye timu A then kabla hata msimu kuisha unaskia tetesi hiyo timu A inatafuta kocha mkuu, wewe kama kocha mkuu wa hiyo timu A kwa wakati huo unapata picha gani apo?? si maana ake wanakuona hutoshi
Na naamini hata kwa Aucho, Depu na Okello sio kweli kama sijui walipata ofa kubwa hamna lolote ni Yanga wenyewe chini ya Injinia wameondoa hizo quality kwa sababu ambazo hazina tija mwishoe wameenda kuokota viazi akina Toure , Selemani, Komaro sijui Zakwani, mfano kuna Timu kwa vipindi tofauti zilikuwa zinawahitaji Aziz Ki, Pacome na Mzize mbona kwa hao yanga waliweza kuwabakisha.
Ni kuna decisions za kiwaki saiv zinaendelea kwenye hii timu, af zigo la lawama anakuja kuaangushiwa kocha kila msimu.
Kama unaona wanaosema hivyo ni makolo basi mahaba ya uyanga unakusumbua. Wanaosema kuhusu Saed Ramovic ndio hao hao wenye jicho la mpira na kumuona Manqoba anaiporomosha Yanga, mapema kabisa. Leo yuko wapi? Ndio hao hao tunarudia tena kusema Yanga kipindi cha Hersi imepata makocha wazuri watatu pekee ( Nabi, Gamond na Miloud) tofauti na hapo hamna kocha wa maana. Huyo Saed si ndio aliyetoa sababu kuwa ligi yetu ya Tanzania haina intensity?Hii milio ya makolo kwa Sead Ramovic imekuwa mingi leo!
Shalulilekashachukua makombe yote makubwa Hana uchu WA mafanikio tena ,unamsanili Yanga unategemea nini wanashindwa kuchukua girumugisha wanasajili garasa 😂😂Naona yanga wanazidi kuchizika tu.
Pamoja na kuwa na strikers wenye majina kama shalulile naona kabisa wanaenda kuwa wa mwisho kwenye kundi
Mkuu hizo stori za vijiweni, timu gani ya kuweza ku beat na Yanga unayoingolea hapo? Al Ismaily ndio impe Miloud ofa kubwa kuliko Yanga? Sio kila timu iliopo uarabuni basi ndio inapesa, hiyo timu imejichokea ndio maana hawana uwezo wa kufanya usajili wa maana na kuishia kuburuza mkia na kugombea nafasi za kushuka daraja.
Miloud hawezi kwenda kwenye timu inayoshuka daraja akaiacha timu inayoenda kucheza klabu bingwa. Mbona alihojiwa na kusema kuwa alikuwa anasubiria kupewa mkataba mpya baada ya kuisha mkataba wake ila kashangaa uongozi hawamuiti kuzungumzia mkataba mpya, ndipo akatafuta timu. Kulikuwa na video humu humu JF ya mahojiano, sijui tu ni uzi upi.
Tatizo LA hersi anachanganya mpira Na siasa,alafu anaamini hizo nafasi za uongozi alizo nazo zitaifanya yanga ifikie malengo,huku akitumia hiyo nafasi kuungana Na wageni kuiyumiza Simba,mshamba moja this hivi,ni mtu duni kabisa
Miloud Yanga walimtimua wao wenyewe, mfano wewe ndio kocha mkuu kwenye timu A then kabla hata msimu kuisha unaskia tetesi hiyo timu A inatafuta kocha mkuu, wewe kama kocha mkuu wa hiyo timu A kwa wakati huo unapata picha gani apo?? si maana ake wanakuona hutoshi