Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Mzize hana umri unaotaka kuwaaminisha watu, sio young player, wengi tunamfahamu Mzize, muache akacheze soka huko anakoliliwa, Mzize maisha yake bado hayajakaa sawa na njia pekee kwake kutoboa ni kwenda Wydad akacheze, hapa Yanga wewe shs ngapi Injinia.
Halafu nikuambie tu washabiki wengi wa Yanga tunaokaa nao mitaani hawamkubali Mzize kivile, wanaomuona ana papara sana, mchoyo, sio striker tishio, anakosa sana mabao, Mzize hawezi kucheza mechi bila mashabiki kumsonya kwa mambo anayofanya uwanjani, halafu mpira wa kibongo una muda, akichuja huyo msimu ujao unampeleka kwa mkopo Singida au KMC, mwache akale maisha WYDAD msimu mmoja tu anatoboa hata akiachwa ameshajitafuta.
Kuendelea kukataa ofa za Mzize unamchanganya na unamharibia sana, sawa kwa vile Mzize ana mkataba na Yanga lakini hebu fikiria ndugu yetu kwa umakini suala hili, Yanga ina washambuliaji wakali kama nyoka sasa hivi, Yanga kwa viungo waliokuwa nao wanaweza kumpelekea moto mtu bila hata kuwepo mshambuliaji, Mzize mwache aende bro, mmekaa na Nkane hadi ameota sugu, dogo kucheza hachezi anaona raha tu kuozea benchi.
Huyo Mzize hawezi kubadilika tena, uchezaji wake ndio ule ule, kama unadhani kuna dili kubwa zaidi kwa mchezaji huyo andika umeumia.Washabiki wa Yanga hawana shida na Mzize, kwanza akipangwa wanaona kama anawachelewesha vile.