Eng Hersi mwache Mzize akamalize soka lake Wydad, unamuharibia maisha

Pesa ndogo sana hiyo.
Uzeni wachezaji wenu sisi Young African hatuuzi hiyo bei.
 
Huyu ni mchezaji wa 2 anamlalamikia huyo Hersi wenu.

Wa kwanza alikuwa Feitoto,seems huyu bwana wa Yanga ni mshenzi wa wivu Kwa wengine
 
Nimesikitika sana baada ya kusoma hii comment
 
Nimesikitika sana eti mtu anakwambia kuliko kwenda Wydad ni bora abakie Yanga akiwa kama substitute anayeingia dk ya 80.

Aisee kweli wabongo ni watu wenye upeo duni sana na dhaifu wa kifikra
 
Nyie kama nani mpaka mtulazimishe kumuachia mzize yanga wenyewe wana malengo yao yaaani umuuzie silaha adui yako embu msitake kulazimisha mambo tengenezeni timu yenu ajiri wachezaji halafu muwauze kiholela
 
Sawa tumekuskia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…