Eng. Hersi ndani ya PSG, akutana na kina Mbape, Hakim

Huyu jamaa atakuwa anawaloga au anawahonga ili apige nao picture...yanga wachawi aisee..jamii duni hupenda uchawi
Halafu anaowaroga wana channel ya timu yao huko whatsapp na ina mamilioni ya followers, yeye timu yake haina channel πŸ˜‚πŸ˜‚

Mangungu timu yake ina channel, sasa kati ya engineer na Mangungu nani ako na akili kubwa 😜

Mwacheni awaombe apige nao selfie apate akili kubwa, ila bado yupo chekechea kwa sasa.
 
Kupiga picha na hawa ndiyo kutainua soka la Tanzania? Huu ujinga wa watanzania sijui utaisha lini. Hivi kupiga picha na mchezaji nayo ni uongozi bora? Subirini basi hizo picha ziinue soka la Tanzania.
Naona umeumia sanaa aisee!
Kualikwa uwanja wa PSG na kushuhudia mechi kubwa namna ile si suala la kupuuza.
Kukaa meza moja na Mwenyekiti wa klabu za Ulaya si suala dogo.
Mbumbumbu pekee in Rage's name ndiye ataona hakuna manufaa.

Kenge wewe
 
🀣 🀣 🀣 🀣 hii nayo habari? Kupiga picha na hakim...mbona Kibu Dee mkandaji alipiga juzi hapo...utopwile ktk ubora,wako...
 
Naona umeumia sanaa aisee!
Kualikwa uwanja wa PSG na kushuhudia mechi kubwa namna ile si suala la kupuuza.
Kukaa meza moja na Mwenyekiti wa klabu za Ulaya si suala dogo.
Mbumbumbu pekee ina Rage's name ndiye ataona hakuna manufaa.

Kenge wawe
Hersi is your spouse, isn't he? Kindly elucidate in a systematic manner how engaging with the chairperson of European club at the same table can contribute to the advancement of Tanzanian football!
 
Kuna uzi ule wa fantasy
 
Hapo kwa haraka haraka tu Hersi ndio kaomba picha...
Sio kwamba ukaomba, bali alimlia timing Hakim kisha akajipiga selfie then akawatumia vyura wake ambao nao wakakurupuka kupost picha ya boss wao kwamba kapiga na Hakim.

Hao ndio Uto zero brain πŸ˜‚πŸ˜‚
 
You lean nothing to jasusi ex wako, hivi ulikuwaga unafanya nini kwa huyo jasusi hadi mmebwagana na hukujifunza lolote kuhusu ujasusi!?

Ama kweli ukistaajabu ya Ayoub utayaona ya Salah πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa akili zako kukutana na uongozi wa PSG ni jambo dogo?
 
Kupiga picha na hawa ndiyo kutainua soka la Tanzania? Huu ujinga wa watanzania sijui utaisha lini. Hivi kupiga picha na mchezaji nayo ni uongozi bora? Subirini basi hizo picha ziinue soka la Tanzania.
Huko ameenda kupata exposure...jinsi ya kuendesha futbol ya kisasa
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] hii nayo habari? Kupiga picha na hakim...mbona Kibu Dee mkandaji alipiga juzi hapo...utopwile ktk ubora,wako...
Kibu sijui kama hata ngeli inapanda [emoji23]
 
You lean nothing to jasusi ex wako, hivi ulikuwaga unafanya nini kwa huyo jasusi hadi mmebwagana na hukujifunza lolote kuhusu ujasusi!?

Ama kweli ukistaajabu ya Ayoub utayaona ya Salah πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe katika watu wote? Why dragging my ex into this?
Kuna daraja fulani nilikuweka, nilikosea.
Anyways, asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…