Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So ameshazindua hata channel ya Uto au bado anapewa maelekezo ya jinsi ya ku add channel?Huko ameenda kupata exposure...jinsi ya kuendesha futbol ya kisasa
Mkuu mimi nisingekuwa na shida kama siyo huu uchawa wa kusifia hata visivyopaswa. Sioni ubaya wowote wa kitendo chake hicho ila sasa namna hawa kereng'ende wenzangu wanavyopaisha mambo ambayo hata hayafai. Unajua nchi yetu hii imeharibika sana kwa watu kusifu vitu vya kawaida sana. Kesho utasikia mchagueni awe mbunge kwa sababu alipiga picha na fulani, na matokeo yake ni kupata vilaza na viongozi wasanii badala ya watendaji wazuri.Huko ameenda kupata exposure...jinsi ya kuendesha futbol ya kisasa
Ndo hivyo mkuu.... wabongo hatuna jambo dogoMkuu mimi nisingekuwa na shida kama siyo huu uchawa wa kusifia hata visivyopaswa. Sioni ubaya wowote wa kitendo chake hicho ila sasa namna hawa kereng'ende wenzangu wanavyopaisha mambo ambayo hata hayafai. Unajua nchi yetu hii imeharibika sana kwa watu kusifu vitu vya kawaida sana. Kesho utasikia mchagueni awe mbunge kwa sababu alipiga picha na fulani, na matokeo yake ni kupata vilaza na viongozi wasanii badala ya watendaji wazuri.
Kupiga picha na hawa ndiyo kutainua soka la Tanzania? Huu ujinga wa watanzania sijui utaisha lini. Hivi kupiga picha na mchezaji nayo ni uongozi bora? Subirini basi hizo picha ziinue soka la Tanzania.
Niliwahi kukuambia wazi kuwa huwa una post vitu vizuri ambavyo hunifanya nitabasamu, lakini leo kwa kufagilia upuuzi aliopost shemeji ake Manara sijatabasamu kabisa na umeniudhi kwa sababu umedanganywa kizembe mno hadi nikaona wazi kabisa kuwa hukujifunza mbinu zozote za kijasusi kwa your ex mlipokuwa pamoja, yaani yaani nimesikitika mno.Wewe katika watu wote? Why dragging my ex into this?
Kuna daraja fulani nilikuweka, nilikosea.
Anyways, asante.
Hivi eng Hersi alipataje ujasiri wa kujipiga selfie na 'wambea' wa ughaibuni?Mambo ya channel ya umbea....tumewaachia Makolo [emoji23]
Eti Hakimi kamuomba picha! Nani anayemfahamu mwingine kati ya hao watu wawili!?Hersi akiwa kwenye picha ya pamoja Baada ya Hakimi kumuomba picha eng hersiView attachment 2861708
Kwanza huu ni mjadala wa mpira ambako kama watani tunataniana na kufurahi maisha yanasonga, wewe unanivaa vipi na issue personal?Y
Niliwahi kukuambia wazi kuwa huwa una post vitu vizuri ambavyo hunifanya nitabasamu, lakini leo kwa kufagilia upuuzi aliopost shemeji ake Manara sijatabasamu kabisa na umeniudhi kwa sababu umedanganywa kizembe mno hadi nikaona wazi kabisa kuwa hukujifunza mbinu zozote za kijasusi kwa your ex mlipokuwa pamoja, yaani yaani nimesikitika mno.
Hiyo asante uliyonipa ifanye kuwa daraja la kukuvusha utoke katika zama za shemeji ake Manara maana hufit kabisa huko.
Hivi eng Hersi alipataje ujasiri wa kujipiga selfie na 'wambea' wa ughaibuni?Mambo ya channel ya umbea....tumewaachia Makolo![]()
Basi yaishe na tusichukuane kwa sababu ya hoja ya shemejie Haji.Kwanza huu ni mjadala wa mpira ambako kama watani tunataniana na kufurahi maisha yanasonga, wewe unanivaa vipi na issue personal?
Huu ni mjadala mwepesi mno, hutakiwi kuweka emotions kama issue serious.
Halafu huo ujasusi mbona kama mnauongelea kiurahisi sana, ujasusi mnaujua lakini?
Hizo ni taaluma za watu, sio vyema kuleta dhihaka namna hii.
Good day
Wacha gubu, wanaume hatupo hivyo mkuu.Kupiga picha na hawa ndiyo kutainua soka la Tanzania? Huu ujinga wa watanzania sijui utaisha lini. Hivi kupiga picha na mchezaji nayo ni uongozi bora? Subirini basi hizo picha ziinue soka la Tanzania.
Bro hivi una maanisha au unatania mkuu?Halafu anaowaroga wana channel ya timu yao huko whatsapp na ina mamilioni ya followers, yeye timu yake haina channel 😂😂
Mangungu timu yake ina channel, sasa kati ya engineer na Mangungu nani ako na akili kubwa 😜
Mwacheni awaombe apige nao selfie apate akili kubwa, ila bado yupo chekechea kwa sasa.
Makolo ni wepesi sana. Hasira dakika 0Kwanza huu ni mjadala wa mpira ambako kama watani tunataniana na kufurahi maisha yanasonga, wewe unanivaa vipi na issue personal?
Huu ni mjadala mwepesi mno, hutakiwi kuweka emotions kama issue serious.
Halafu huo ujasusi mbona kama mnauongelea kiurahisi sana, ujasusi mnaujua lakini?
Hizo ni taaluma za watu, sio vyema kuleta dhihaka namna hii.
Good day
Kwaiyo kwenda kupiga picha ulaya ni big deal?Hersi akiwa kwenye picha ya pamoja Baada ya Hakimi kumuomba picha eng hersiView attachment 2861708