Hiviiii......huko UTOPOLONI nako huwa wanatoa kitu kama kule kwa BUKU SABA SABA nini? Maanake, mtu kujipinda na kuandika sifa za kijinga hapa, sio mchezo!Takwimu hadi kufikia jana
Eng. Hersi mech 1. Goal 1
John Bocco ..mech 17 ...goal 0
Tukiweka ushabiki pembeni, siasa na kujikiita Zaid kwenye soccer prndwa la Africa mashariki ifuatayo ni fact/ ukweli niliouona Jana kwenye mechi ya viongoz ya yanga na wasanii
Engineer hersi ni fundi wa mpira kuliko mzee Bocco ......kama uliona mpira Jana utakuwa shahidi jinsi hersi alivyofanya movement ya kwenda goli la wapinzani ......ambapo alipata mpira then kapiga chenga moja ya Rolnadinho. Then kafunga goli moja matata Sana
Ingekuwa tunacheza CAF Champions Basi goli la eng. Hersi lingekuwa goli Bora la karne .
Kama hujaona mechi ..piga simu nikutumie bundle uende mjin YouTube ukajiangalizie Soccer saafi
Je! Bocco na eng. Hersi nan mkali zaidi
Source.. mchambuzi Laban og
View attachment 2157439
kwa nini asijisajili Yanga, anaenda Kongo? πππTakwimu hadi kufikia jana
Eng. Hersi mech 1. Goal 1
John Bocco ..mech 17 ...goal
Wanamposa mayele sio?Ng'ombe watoa mashabiki as a motivator to our key players
Kuanzia leo nakuondoa kwenye kundi la Mbumbumbu na Makolo.Mimi ni simba ila kwa hapo nakubaliana na. Weee kabisa
Sasa wataandika nini mkuu?Hiviiii......huko UTOPOLONI nako huwa wanatoa kitu kama kule kwa BUKU SABA SABA nini? Maanake, mtu kujipinda na kuandika sifa za kijinga hapa, sio mchezo!
Kwakweli anaupiga mwingi. Sasa ilikuwaje akapoteza muda na pesa kumsajili Heritier Makambo badala ya kujisajili yeye ?Takwimu hadi kufikia jana
Eng. Hersi mech 1. Goal 1
John Bocco ..mech 17 ...goal 0
Tukiweka ushabiki pembeni, siasa na kujikiita Zaid kwenye soccer prndwa la Africa mashariki ifuatayo ni fact/ ukweli niliouona Jana kwenye mechi ya viongoz ya yanga na wasanii
Engineer hersi ni fundi wa mpira kuliko mzee Bocco ......kama uliona mpira Jana utakuwa shahidi jinsi hersi alivyofanya movement ya kwenda goli la wapinzani ......ambapo alipata mpira then kapiga chenga moja ya Rolnadinho. Then kafunga goli moja matata Sana
Ingekuwa tunacheza CAF Champions Basi goli la eng. Hersi lingekuwa goli Bora la karne .
Kama hujaona mechi ..piga simu nikutumie bundle uende mjin YouTube ukajiangalizie Soccer saafi
Je! Bocco na eng. Hersi nan mkali zaidi
Source.. mchambuzi Laban og
View attachment 2157439
Umenikumbusha! Mleta uzi huu, atuambie huyo Boko na Makambo, nani kasajiriwa kwa fedha nyingi, na nani analipwa mshahara mkubwa? Kwa nini waingie gharama kubwa, wakati wanaye INJINIA?Kwakweli anaupiga mwingi. Sasa ilikuwaje akapoteza muda na pesa kumsajili Heritier Makambo badala ya kujisajili yeye ?