Eng. Hersi ni Bora zaidi kuliko John Bocco kwenye Soccer

Eng. Hersi ni Bora zaidi kuliko John Bocco kwenye Soccer

Hadji manara kweli ni nabii, hakukosea haya maneno KWAMBA YANGA WENYE AKILI NI BABA YAKE NA MZEE KIKWETE TUU. Wanaobaki wooootee wapumbavu Ona sasa huu uharo ulioandika hapa.
Mbna una hasira mkuu[emoji23][emoji23]
 
Takwimu hadi kufikia jana

Eng. Hersi mech 1. Goal 1

John Bocco ..mech 17 ...goal 0

Tukiweka ushabiki pembeni, siasa na kujikiita Zaid kwenye soccer prndwa la Africa mashariki ifuatayo ni fact/ ukweli niliouona Jana kwenye mechi ya viongoz ya yanga na wasanii

Engineer hersi ni fundi wa mpira kuliko mzee Bocco ......kama uliona mpira Jana utakuwa shahidi jinsi hersi alivyofanya movement ya kwenda goli la wapinzani ......ambapo alipata mpira then kapiga chenga moja ya Rolnadinho. Then kafunga goli moja matata Sana

Ingekuwa tunacheza CAF Champions Basi goli la eng. Hersi lingekuwa goli Bora la karne .

Kama hujaona mechi ..piga simu nikutumie bundle uende mjin YouTube ukajiangalizie Soccer saafi

Je! Bocco na eng. Hersi nan mkali zaidi
Source.. mchambuzi Laban og

View attachment 2157439
Hiviiii......huko UTOPOLONI nako huwa wanatoa kitu kama kule kwa BUKU SABA SABA nini? Maanake, mtu kujipinda na kuandika sifa za kijinga hapa, sio mchezo!
 
Juzi Mwakalebela akasema Yanga ni timu tishio Afrika kwa kuwa haijafungwa, uto wakapiga makofi kushangilia! Leo tunaambiwa Hersi ni tishio kwenye ligi! Uto kama uto 😁😁😁
 
Hiviiii......huko UTOPOLONI nako huwa wanatoa kitu kama kule kwa BUKU SABA SABA nini? Maanake, mtu kujipinda na kuandika sifa za kijinga hapa, sio mchezo!
Sasa wataandika nini mkuu?
Wakijaribu kuandika HabarI zinazohusu mashindano yahusuyo CAF watapigwa ban Maana hayawahusu na morisson alishawachongea huko CAS.

Zaidi wataandika HabarI za ng'ombe wa Mayele
 
Takwimu hadi kufikia jana

Eng. Hersi mech 1. Goal 1

John Bocco ..mech 17 ...goal 0

Tukiweka ushabiki pembeni, siasa na kujikiita Zaid kwenye soccer prndwa la Africa mashariki ifuatayo ni fact/ ukweli niliouona Jana kwenye mechi ya viongoz ya yanga na wasanii

Engineer hersi ni fundi wa mpira kuliko mzee Bocco ......kama uliona mpira Jana utakuwa shahidi jinsi hersi alivyofanya movement ya kwenda goli la wapinzani ......ambapo alipata mpira then kapiga chenga moja ya Rolnadinho. Then kafunga goli moja matata Sana

Ingekuwa tunacheza CAF Champions Basi goli la eng. Hersi lingekuwa goli Bora la karne .

Kama hujaona mechi ..piga simu nikutumie bundle uende mjin YouTube ukajiangalizie Soccer saafi

Je! Bocco na eng. Hersi nan mkali zaidi
Source.. mchambuzi Laban og

View attachment 2157439
Kwakweli anaupiga mwingi. Sasa ilikuwaje akapoteza muda na pesa kumsajili Heritier Makambo badala ya kujisajili yeye ?
 
Back
Top Bottom