This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Utopolo haina hadhi ya kucheza CAF. Sasa timu ya mechi mbili halafu out ya mm." Ingekuwa tunacheza CAF champions........" . Aaaah utopolo kumbe mnaipenda CAF champions.
Hivi ni hangeover au kitu gani kinasababisha Mtu uanzishe hoja isiyo na hoja?Takwimu hadi kufikia jana
Eng. Hersi mech 1. Goal 1
John Bocco ..mech 17 ...goal 0
Tukiweka ushabiki pembeni, siasa na kujikiita Zaid kwenye soccer prndwa la Africa mashariki ifuatayo ni fact/ ukweli niliouona Jana kwenye mechi ya viongoz ya yanga na wasanii
Engineer hersi ni fundi wa mpira kuliko mzee Bocco ......kama uliona mpira Jana utakuwa shahidi jinsi hersi alivyofanya movement ya kwenda goli la wapinzani ......ambapo alipata mpira then kapiga chenga moja ya Rolnadinho. Then kafunga goli moja matata Sana
Ingekuwa tunacheza CAF Champions Basi goli la eng. Hersi lingekuwa goli Bora la karne .
Kama hujaona mechi ..piga simu nikutumie bundle uende mjin YouTube ukajiangalizie Soccer saafi
Je! Bocco na eng. Hersi nan mkali zaidi
Source.. mchambuzi Laban og
View attachment 2157439
Hata kimuonekano tu hapo unaweza ona nani mchezajiTakwimu hadi kufikia jana

Hiyo nauli ni changamoto na nadhani timu husika hawapendezwi na hilo. Ni kama vile mtu anapenda kusoma ila hana ada, huwezi muweka kundi la mtoro au aliyekataa shule ni majanga tu.Sio kila timu bali timu zinazojielewa. Timu inayokosa nauli ikiwa inashiriki hayo mashindano au timu nyingine kujali tamasha kuliko mechi ya CAF, timu hizo huwezi kusema zina malengo na CAF.
Timu yenye malengo na CAF haiwezi kukosa nauli. Zinazokosa nauli ni zile ambazo hazina malengo na hayo mashindano hivyo ushiriki huja bila kutegemea.Hiyo nauli ni changamoto na nadhani timu husika hawapendezwi na hilo. Ni kama vile mtu anapenda kusoma ila hana ada, huwezi muweka kundi la mtoro au aliyekataa shule ni majanga tu.
Timu gani inajali tamasha kuliko maahindano?? Yani kwamba wao siku ya mechi ya CAF wakafanya tamasha balada ya mechi au vp??
Lkn engineer alipiga vyenga hadi kufunga gogoli
Ungekua muwazi tungeeleweshana ila naona kama unatumia mafumbo kuzikandia baadhi ya timu, sijui unaogopa madongo au ni nini kinafanya usiseme direct kua timu fulani.Timu yenye malengo na CAF haiwezi kukosa nauli. Zinazokosa nauli ni zile ambazo hazina malengo na hayo mashindano hivyo ushiriki huja bila kutegemea.
Kuna timu iliweka kambi sehemu kwa ajili ya kujiandaa na pre season na mechi ya CAF lakini walikatisha kambi ili kuja kushiriki tamasha.
Dr. Haji ManaraMimi ni simba ila kwa hapo nakubaliana na. Weee kabisa
Kongole kwa msukule . Uliona mbali kutimukia timu ya waramba viatu wenzake
Kwa hiyo huijui timu iliyokosa nauli? Kama ni hivyo basi hufuatilii soka, sababu hata kama kipindi hicho ulikuwa unaumwa lakini baada ya kupona kwa mwanasoka lazima ungetafuta habari za wawakilishi wa kimataifa.Ungekua muwazi tungeeleweshana ila naona kama unatumia mafumbo kuzikandia baadhi ya timu, sijui unaogopa madongo au ni nini kinafanya usiseme direct kua timu fulani.
YANGA kila mtu ni staa pale so usishangae mkuu[emoji23][emoji23]Juzi Mwakalebela akasema Yanga ni timu tishio Afrika kwa kuwa haijafungwa, uto wakapiga makofi kushangilia! Leo tunaambiwa Hersi ni tishio kwenye ligi! Uto kama uto [emoji16][emoji16][emoji16]
No wonder average IQ ya nchi hii ni ndogo sanaTakwimu hadi kufikia jana