Eng. Hersi ni Bora zaidi kuliko John Bocco kwenye Soccer

Takwimu hadi kufikia jana

Eng. Hersi mech 1. Goal 1

John Bocco ..mech 17 ...goal 0

Tukiweka ushabiki pembeni, siasa na kujikiita Zaid kwenye soccer prndwa la Africa mashariki ifuatayo ni fact/ ukweli niliouona Jana kwenye mechi ya viongoz ya yanga na wasanii

Engineer hersi ni fundi wa mpira kuliko mzee Bocco ......kama uliona mpira Jana utakuwa shahidi jinsi hersi alivyofanya movement ya kwenda goli la wapinzani ......ambapo alipata mpira then kapiga chenga moja ya Rolnadinho. Then kafunga goli moja matata Sana

Ingekuwa tunacheza CAF Champions Basi goli la eng. Hersi lingekuwa goli Bora la karne .

Kama hujaona mechi ..piga simu nikutumie bundle uende mjin YouTube ukajiangalizie Soccer saafi

Je! Bocco na eng. Hersi nan mkali zaidi
Source.. mchambuzi Laban og

View attachment 2157439
Hivi ni hangeover au kitu gani kinasababisha Mtu uanzishe hoja isiyo na hoja?
 
Hata kimuonekano tu hapo unaweza ona nani mchezaji
 
Sio kila timu bali timu zinazojielewa. Timu inayokosa nauli ikiwa inashiriki hayo mashindano au timu nyingine kujali tamasha kuliko mechi ya CAF, timu hizo huwezi kusema zina malengo na CAF.
Hiyo nauli ni changamoto na nadhani timu husika hawapendezwi na hilo. Ni kama vile mtu anapenda kusoma ila hana ada, huwezi muweka kundi la mtoro au aliyekataa shule ni majanga tu.

Timu gani inajali tamasha kuliko maahindano?? Yani kwamba wao siku ya mechi ya CAF wakafanya tamasha balada ya mechi au vp??
 
Timu yenye malengo na CAF haiwezi kukosa nauli. Zinazokosa nauli ni zile ambazo hazina malengo na hayo mashindano hivyo ushiriki huja bila kutegemea.
Kuna timu iliweka kambi sehemu kwa ajili ya kujiandaa na pre season na mechi ya CAF lakini walikatisha kambi ili kuja kushiriki tamasha.
 
Ungekua muwazi tungeeleweshana ila naona kama unatumia mafumbo kuzikandia baadhi ya timu, sijui unaogopa madongo au ni nini kinafanya usiseme direct kua timu fulani.
 
Mimi ni simba ila kwa hapo nakubaliana na. Weee kabisa
Dr. Haji Manara

hajismanara~p~CbVHeqeAyb7~1.jpg
 
Ungekua muwazi tungeeleweshana ila naona kama unatumia mafumbo kuzikandia baadhi ya timu, sijui unaogopa madongo au ni nini kinafanya usiseme direct kua timu fulani.
Kwa hiyo huijui timu iliyokosa nauli? Kama ni hivyo basi hufuatilii soka, sababu hata kama kipindi hicho ulikuwa unaumwa lakini baada ya kupona kwa mwanasoka lazima ungetafuta habari za wawakilishi wa kimataifa.
 
Hiviiii......huko UTOPOLONI nako huwa wanatoa kitu kama kule kwa BUKU SABA SABA nini? Maanake, mtu kujipinda na kuandika sifa za kijinga hapa, sio mchezo!
Acha hasira mkuu.....toa hoja
 
Juzi Mwakalebela akasema Yanga ni timu tishio Afrika kwa kuwa haijafungwa, uto wakapiga makofi kushangilia! Leo tunaambiwa Hersi ni tishio kwenye ligi! Uto kama uto [emoji16][emoji16][emoji16]
YANGA kila mtu ni staa pale so usishangae mkuu[emoji23][emoji23]
 
Takwimu hadi kufikia jana

Eng. Hersi mech 1. Goal 1

John Bocco ..mech 17 ...goal 0

Tukiweka ushabiki pembeni, siasa na kujikiita Zaid kwenye soccer prndwa la Africa mashariki ifuatayo ni fact/ ukweli niliouona Jana kwenye mechi ya viongoz ya yanga na wasanii

Engineer hersi ni fundi wa mpira kuliko mzee Bocco ......kama uliona mpira Jana utakuwa shahidi jinsi hersi alivyofanya movement ya kwenda goli la wapinzani ......ambapo alipata mpira then kapiga chenga moja ya Rolnadinho. Then kafunga goli moja matata Sana

Ingekuwa tunacheza CAF Champions Basi goli la eng. Hersi lingekuwa goli Bora la karne .

Kama hujaona mechi ..piga simu nikutumie bundle uende mjin YouTube ukajiangalizie Soccer saafi

Je! Bocco na eng. Hersi nan mkali zaidi
Source.. mchambuzi Laban og

View attachment 2157439
No wonder average IQ ya nchi hii ni ndogo sana

Imagine na wewe unapata mtu wa kufanana na wewe, mnazaliana na vitoto vyenu vinakua

Nchi imejaa mataahira sana hii

You can’t even compare basic stuff
 
Back
Top Bottom