Eng. Hersi ni Bora zaidi kuliko John Bocco kwenye Soccer

Sasa wataandika nini mkuu?
Wakijaribu kuandika HabarI zinazohusu mashindano yahusuyo CAF watapigwa ban Maana hayawahusu na morisson alishawachongea huko CAS.

Zaidi wataandika HabarI za ng'ombe wa Mayele
Kwan huon Kama CAF ndo Basi Tena.....kolo
 
Umenikumbusha! Mleta uzi huu, atuambie huyo Boko na Makambo, nani kasajiriwa kwa fedha nyingi, na nani analipwa mshahara mkubwa? Kwa nini waingie gharama kubwa, wakati wanaye INJINIA?
Makambo hapew muda mwing kucheza .....kutokana na upana wa kosi la WANANCHI
 
Najua bocco anachezea Simba, sijui hersi yy ni was timu gani ktk NBC premier league. Tufahamishane ili records zikae sawa kati ya hersi na bocco.

Ukishindwa basi wewe Ni zuzu km mlivyoitwa mazuzu. Gongowazi [emoji23][emoji24]
Boko ni mchezaji mzee wa makolo........ engineer hesi.....ni kiongoz wa WANANCHI lakin hata mpira anauweza kuliko mzee bocooo
 
Utopolo haina hadhi ya kucheza CAF. Sasa timu ya mechi mbili halafu out ya mm.

Mwakani mnaenda kutia aibu tena. Saizi yenu kmc, mwadui. Kwa hao mtatetemeka mabega sana.
Subiri msimu ujao......ubingwa wa CAF champions tunawaletea......tunajua makolo mnatamani sanaa
 
Hatukuwa na kikosi kipana Kama saiz
 
Mnaongoza ngap makolooo
 
Ungekua muwazi tungeeleweshana ila naona kama unatumia mafumbo kuzikandia baadhi ya timu, sijui unaogopa madongo au ni nini kinafanya usiseme direct kua timu fulani.
Anaogopa nini sasa
 
Kwa hiyo huijui timu iliyokosa nauli? Kama ni hivyo basi hufuatilii soka, sababu hata kama kipindi hicho ulikuwa unaumwa lakini baada ya kupona kwa mwanasoka lazima ungetafuta habari za wawakilishi wa kimataifa.
Timu iliyokosa nauli ni biashara united
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…