Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan huon Kama CAF ndo Basi Tena.....koloSasa wataandika nini mkuu?
Wakijaribu kuandika HabarI zinazohusu mashindano yahusuyo CAF watapigwa ban Maana hayawahusu na morisson alishawachongea huko CAS.
Zaidi wataandika HabarI za ng'ombe wa Mayele
Mganga wa Bocco kafarikiKimataifa ipi .....Boko kafunga[emoji3][emoji3]
Makambo hapew muda mwing kucheza .....kutokana na upana wa kosi la WANANCHIUmenikumbusha! Mleta uzi huu, atuambie huyo Boko na Makambo, nani kasajiriwa kwa fedha nyingi, na nani analipwa mshahara mkubwa? Kwa nini waingie gharama kubwa, wakati wanaye INJINIA?
Boko ni mchezaji mzee wa makolo........ engineer hesi.....ni kiongoz wa WANANCHI lakin hata mpira anauweza kuliko mzee bocoooNajua bocco anachezea Simba, sijui hersi yy ni was timu gani ktk NBC premier league. Tufahamishane ili records zikae sawa kati ya hersi na bocco.
Ukishindwa basi wewe Ni zuzu km mlivyoitwa mazuzu. Gongowazi [emoji23][emoji24]
Subiri msimu ujao......ubingwa wa CAF champions tunawaletea......tunajua makolo mnatamani sanaaUtopolo haina hadhi ya kucheza CAF. Sasa timu ya mechi mbili halafu out ya mm.
Mwakani mnaenda kutia aibu tena. Saizi yenu kmc, mwadui. Kwa hao mtatetemeka mabega sana.
Hatukuwa na kikosi kipana Kama saizHiyo nauli ni changamoto na nadhani timu husika hawapendezwi na hilo. Ni kama vile mtu anapenda kusoma ila hana ada, huwezi muweka kundi la mtoro au aliyekataa shule ni majanga tu.
Timu gani inajali tamasha kuliko maahindano?? Yani kwamba wao siku ya mechi ya CAF wakafanya tamasha balada ya mechi au vp??
Mnaongoza ngap makoloooTimu yenye malengo na CAF haiwezi kukosa nauli. Zinazokosa nauli ni zile ambazo hazina malengo na hayo mashindano hivyo ushiriki huja bila kutegemea.
Kuna timu iliweka kambi sehemu kwa ajili ya kujiandaa na pre season na mechi ya CAF lakini walikatisha kambi ili kuja kushiriki tamasha.
Timu iliyokosa nauli ni biashara unitedKwa hiyo huijui timu iliyokosa nauli? Kama ni hivyo basi hufuatilii soka, sababu hata kama kipindi hicho ulikuwa unaumwa lakini baada ya kupona kwa mwanasoka lazima ungetafuta habari za wawakilishi wa kimataifa.