Unamfanya nini mkuu?Nimechukizwa na Kitendo cha Eng Hersi Said kutangaza kuchangia milion 100 CCM bila rushwa yetu Wanachama
Yanga ni timu ya Wanachama
Hiyo milion 100 ilipitishwa na mkutano Gani ikachangie kampeni za CCM
Eng Hersi Said umetugawa sisi Wanachama wa Yanga ambao sio Wanachama wa CCM,
Au unataka kutwambia kuwa Yanga ni timu ya CCM
Nakusihi Kwa upumbavu uliofanya Leo utoke hadharani tuombe radhi, sisi Wanachama
Eng Hersi Said kama upo Yanga ili kuingiza agenda za CCM utoke tu.
Sisi tuko tayari hata kukosa makombe na kufungiwa kabisa ila sio kutoa ada zetu za uanachama na kupeleka CCM
Sijasikiliza mkuu mi nimeweka comment tu. Aibu naona mimi 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Kwanini aitaje Yanga
Asitoe yeye binafsi bila kusema Yanga tumechangia CCM
Sasa Ada yako ya uanachama unafikiri inatosha .?Sisi Wanachama Huwa tunalipia ada kila mtu anawajibika Kwa nafasi yake
Wadhamini hawako Yanga kutoa msaada, wapo kunufaika na chapati ya Yanga. Hapo ni wadhamini na Yanga wote wananufaikaSasa Ada yako ya uanachama unafikiri inatosha .?
Yanga Ina various source za kuingiza Pesa.
Ada ya uanachama haisaidii chochote hapo hao wadhamini wakijiondoa timu inarudi kusua sua.
Upumbavu mkubwa!.....watampa na ubungeNimechukizwa na Kitendo cha Eng Hersi Said kutangaza kuchangia milion 100 CCM bila rushwa yetu Wanachama
Yanga ni timu ya Wanachama
Hiyo milion 100 ilipitishwa na mkutano Gani ikachangie kampeni za CCM
Eng Hersi Said umetugawa sisi Wanachama wa Yanga ambao sio Wanachama wa CCM,
Au unataka kutwambia kuwa Yanga ni timu ya CCM
Nakusihi Kwa upumbavu uliofanya Leo utoke hadharani tuombe radhi, sisi Wanachama
Eng Hersi Said kama upo Yanga ili kuingiza agenda za CCM utoke tu.
Sisi tuko tayari hata kukosa makombe na kufungiwa kabisa ila sio kutoa ada zetu za uanachama na kupeleka CCMView attachment 3439498
Hata mfanano wa rangi tu huuoni?Nimechukizwa na Kitendo cha Eng Hersi Said kutangaza kuchangia milion 100 CCM bila rushwa yetu Wanachama
Yanga ni timu ya Wanachama
Hiyo milion 100 ilipitishwa na mkutano Gani ikachangie kampeni za CCM
Eng Hersi Said umetugawa sisi Wanachama wa Yanga ambao sio Wanachama wa CCM,
Au unataka kutwambia kuwa Yanga ni timu ya CCM
Nakusihi Kwa upumbavu uliofanya Leo utoke hadharani tuombe radhi, sisi Wanachama
Eng Hersi Said kama upo Yanga ili kuingiza agenda za CCM utoke tu.
Sisi tuko tayari hata kukosa makombe na kufungiwa kabisa ila sio kutoa ada zetu za uanachama na kupeleka CCMView attachment 3439498
Nimekwambia hakuna tajiri anatoka hisani YangaRunning cost za timu ni kubwa Sana mkuu .
Nyie mashabiki mna umuhimu Ila umuhimu wenu ni wa kuisapoti timu uwanjani na kuleta hamasa.
Wadhamini hao kipindi hawapo Yanga ilikuwa imepoteana Sana na kufika hatua ya kuyumba yumba.
Itafute yanga ambayo ilikuwa haina wadhamini ilikuaje?.
OkayNimekwambia hakuna tajiri anatoka hisani Yanga
Hao wafadhili wananufaika na Yanga