Quadratic92
Senior Member
- Jul 11, 2025
- 129
- 146
Kweli kabxa mkuuHayo ni maagizo kutoka kwa tajiri GSM. Huyo hersi ni kobe tu juu ya mti.
Kweli kabxa mkuuHayo ni maagizo kutoka kwa tajiri GSM. Huyo hersi ni kobe tu juu ya mti.
Jersey za yanga na Yale matambala ya mboga mboga hamna utofauti kabisaWatu mnajitoa ufahamu na mnashindwa kuukubali ukweli ulio wazo mbele yenu. Yanga ni taasisi ya CCM, hauhitaji kufikiri saaana kujua hilo.
Cha kushangaza nyie wenyewe huwa mnatamba ndiyo mmeleta uhuru, mkajiita wananchi, mnatamba nyie ndiyo muhimili na mnaoendesha nchi, halafu mnashangaa viongozi wenu kuichangia CCM? Mbona mnatufanya tuwaone hamna akili nyie mashabiki?
Yaani mtu unamuheshimu vizuri tu, unaona ana hoja za msingi za kuikosoa serikali halafu unakuta ni mshabiki wa Yanga, tena mshabiki lialia kabisa. Hili jambo nashindwa kulielewa kabisa, ni kwamba watu wanarogwa au? Ukiwauliza au ukijaribu kuwaelewesha, wanakwambia mpira na siasa wapi na wapi?
Hizi timu za kurithi ni shida sana.
je mimi mwana chadema,cuf,Nccr,ACT wa YANGA nihamie SimbaNimechukizwa na Kitendo cha Eng Hersi Said kutangaza kuchangia milion 100 CCM bila rushwa yetu Wanachama
Yanga ni timu ya Wanachama
Hiyo milion 100 ilipitishwa na mkutano Gani ikachangie kampeni za CCM
Eng Hersi Said umetugawa sisi Wanachama wa Yanga ambao sio Wanachama wa CCM,
Au unataka kutwambia kuwa Yanga ni timu ya CCM
Nakusihi Kwa upumbavu uliofanya Leo utoke hadharani tuombe radhi, sisi Wanachama
Eng Hersi Said kama upo Yanga ili kuingiza agenda za CCM utoke tu.
Sisi tuko tayari hata kukosa makombe na kufungiwa kabisa ila sio kutoa ada zetu za uanachama na kupeleka CCMView attachment 3439498
Shida yenu ipo hapo. Wamewapa viashiria vyote ila mnajitoa ufahamu. Sasa wameamua waje front na hii siyo mara ya kwanza.Rangi Zina shida gani?
Yanga haishikamani na Chama cha siasa, dini, kabila, rangi na kadhalikaShida yenu ipo hapo. Wamewapa viashiria vyote ila mnajitoa ufahamu. Sasa wameamua waje front na hii siyo mara ya kwanza.
Kwani nyie mnavyotamba ndiyo mnashikilia nchsina hakuna wa kuwasumbua si ni kwa sababu hizi hizi au kuna zingine?
Huku ndio tunaita kujitoa ufahamu. Yanga haijawahi kuficha uswahiba wake na CCM. Ni upofu wa kimwili, kiroho, kifikra na kishabiki kama hauoni hilo.Yanga haishikamani na Chama cha siasa, dini, kabila, rangi na kadhalika
Yanga ni ya wote
Ni lini Yanga walichangamana na CCM? Toa hiyo Jana ambapo sisi Wanachama wa Yanga tunalikemeaHuku ndio tunaita kujitoa ufahamu. Yanga haijawahi kuficha uswahiba wake na CCM. Ni upofu wa kimwili, kiroho, kifikra na kishabiki kama hauoni hilo.
Eng Hersi Said amejiweka wazi yupo Yanga Kwa maslahi yake binafsi na sio YangaHivi kuna sheria za FIFA zinazozuia timu kujihusisha na mambo ya siasa? Na kama zipo ni Kwamba Yanga hawazifahamu? Au ni nini kimetokea!