GSM yeye binafsi katoa bilioni 10Nachojua timu ya Yanga haiwategemei hawa waswahili kujiendesha .
Hizo Pesa zitakuwa ni Mkono wa Gsm
Nimechukizwa na Kitendo cha Eng Hersi Said kutangaza kuchangia milion 100 CCM bila rushwa yetu Wanachama
Yanga ni timu ya Wanachama
Hiyo milion 100 ilipitishwa na mkutano Gani ikachangie kampeni za CCM
Eng Hersi Said umetugawa sisi Wanachama wa Yanga ambao sio Wanachama wa CCM,
Au unataka kutwambia kuwa Yanga ni timu ya CCM
Nakusihi Kwa upumbavu uliofanya Leo utoke hadharani tuombe radhi, sisi Wanachama
Eng Hersi Said kama upo Yanga ili kuingiza agenda za CCM utoke tu.
Sisi tuko tayari hata kukosa makombe na kufungiwa kabisa ila sio kutoa ada zetu za uanachama na kupeleka CCMView attachment 3439498
Nani atakaye uwasha moto? Ni nyie wala Mihogo au? Hakuna kitu kitakachotokea. Ndio wameshachangia sasa.Subiri mkutano mkuu hapo September laZima moto uwake
Huoni hapo ni Yanga ndo wamechangia...Relax. Hizo zitakuwa pesa zake binafsi au za GSM!
Hawezi kutoa pesa za Yanga
Sasa kwanini isisomeke GSM badala yake ikasomeka Yanga...????Hayo ni maagizo kutoka kwa tajiri GSM. Huyo hersi ni kobe tu juu ya mti.
Kwamba wasipochangia tonetone mtafanyaje nyie CDM?We muache KWENYE tone tone la chadema tytamualika tumtege ILI akikata TU atakuwa amejaa KWENYE mfumo atatukubali. Uwanja haja Jenga ni ahadi alitoa kwa kunywa chake
Kwishaaaa
Come on mzee akili zetu tumepeleka wapi?Relax. Hizo zitakuwa pesa zake binafsi au za GSM!
Hawezi kutoa pesa za Yanga
😂😂😂Huko utopolo wenye akili ni wawili tu😆