GE2025 Eng Hersi Said kuchangia CCM milion 100 ada zetu za uanachama ni kutudharau sisi wanayanga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watu mnajitoa ufahamu na mnashindwa kuukubali ukweli ulio wazo mbele yenu. Yanga ni taasisi ya CCM, hauhitaji kufikiri saaana kujua hilo.

Cha kushangaza nyie wenyewe huwa mnatamba ndiyo mmeleta uhuru, mkajiita wananchi, mnatamba nyie ndiyo muhimili na mnaoendesha nchi, halafu mnashangaa viongozi wenu kuichangia CCM? Mbona mnatufanya tuwaone hamna akili nyie mashabiki?

Yaani mtu unamuheshimu vizuri tu, unaona ana hoja za msingi za kuikosoa serikali halafu unakuta ni mshabiki wa Yanga, tena mshabiki lialia kabisa. Hili jambo nashindwa kulielewa kabisa, ni kwamba watu wanarogwa au? Ukiwauliza au ukijaribu kuwaelewesha, wanakwambia mpira na siasa wapi na wapi?

Hizi timu za kurithi ni shida sana.
 

Yanga ni team ya nchi, chama na serikali. Ni team kubwa siyo kama mikia haina wenyewe. Na bado mtalia sana miaka hii.
 
We muache KWENYE tone tone la chadema tytamualika tumtege ILI akikata TU atakuwa amejaa KWENYE mfumo atatukubali. Uwanja haja Jenga ni ahadi alitoa kwa kunywa chake


Kwishaaaa
 
Tuandamane hii haikubaliki anatoaje HELA za KLABU bila kutushirikisha wanachama. HELA za kampeni ya tofali la ubingwa mnatoka TU kama zenu stupidddddd


Kwishaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…