GE2025 Eng Hersi Said kuchangia CCM milion 100 ada zetu za uanachama ni kutudharau sisi wanayanga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jersey za yanga na Yale matambala ya mboga mboga hamna utofauti kabisa
 
je mimi mwana chadema,cuf,Nccr,ACT wa YANGA nihamie Simba
 
Rangi Zina shida gani?
Shida yenu ipo hapo. Wamewapa viashiria vyote ila mnajitoa ufahamu. Sasa wameamua waje front na hii siyo mara ya kwanza.

Kwani nyie mnavyotamba ndiyo mnashikilia nchsina hakuna wa kuwasumbua si ni kwa sababu hizi hizi au kuna zingine?
 
Shida yenu ipo hapo. Wamewapa viashiria vyote ila mnajitoa ufahamu. Sasa wameamua waje front na hii siyo mara ya kwanza.

Kwani nyie mnavyotamba ndiyo mnashikilia nchsina hakuna wa kuwasumbua si ni kwa sababu hizi hizi au kuna zingine?
Yanga haishikamani na Chama cha siasa, dini, kabila, rangi na kadhalika
Yanga ni ya wote
 
FIFA wanasemaje.

Kulingana na kanuni za FIFA, vilabu vya soka — na mashirikisho ya kitaifa — haviruhusiwi kushiriki waziwazi kwenye siasa.

Kanuni kuu zinapatikana kwenye Katiba ya FIFA, Kifungu cha 4 na Kifungu cha 14, ambazo zinaeleza:


Hakuna kuingiliwa kisiasa: Mashirikisho wanachama na vilabu vyao lazima viwe na msimamo wa kisiasa usioegemea upande wowote na visijihusishe na siasa za vyama.





Uhuru wa mpira wa miguu: Serikali hazipaswi kuingilia uendeshaji wa mashirikisho ya mpira wa miguu. FIFA inaweza kusimamisha shirikisho likibainika kuna ushawishi wa kisiasa.





Marufuku ya propaganda za kisiasa: Mechi na matukio ya mpira wa miguu hayapaswi kutumiwa kwa propaganda za kisiasa, kidini, au binafsi.



Ingawa FIFA inaruhusu vilabu kuunga mkono harakati kama vile kupinga ubaguzi au kusaidia kibinadamu, kujihusisha wazi na chama cha siasa, mgombea, au kampeni ya serikali kunaweza kusababisha adhabu — ikiwemo faini, kupunguzwa pointi, au hata kusimamishwa kwa klabu au shirikisho la kitaifa.
 
Yanga haishikamani na Chama cha siasa, dini, kabila, rangi na kadhalika
Yanga ni ya wote
Huku ndio tunaita kujitoa ufahamu. Yanga haijawahi kuficha uswahiba wake na CCM. Ni upofu wa kimwili, kiroho, kifikra na kishabiki kama hauoni hilo.
 
Huku ndio tunaita kujitoa ufahamu. Yanga haijawahi kuficha uswahiba wake na CCM. Ni upofu wa kimwili, kiroho, kifikra na kishabiki kama hauoni hilo.
Ni lini Yanga walichangamana na CCM? Toa hiyo Jana ambapo sisi Wanachama wa Yanga tunalikemea
 
Eng Hersi ametukosea sana wanaYanga. Ila kwavile sisi ni Malofa hakuna shida.
Ametugawa sana sisi mashabiki wa Yanga Afrika.
 
Hivi kuna sheria za FIFA zinazozuia timu kujihusisha na mambo ya siasa? Na kama zipo ni Kwamba Yanga hawazifahamu? Au ni nini kimetokea!
 
Hivi kuna sheria za FIFA zinazozuia timu kujihusisha na mambo ya siasa? Na kama zipo ni Kwamba Yanga hawazifahamu? Au ni nini kimetokea!
Eng Hersi Said amejiweka wazi yupo Yanga Kwa maslahi yake binafsi na sio Yanga
Yupo tayari Yanga kufungiwa ili kumfurahisha Mwenyekiti wa Chama chakavu
 
Jamani tuwaandikie FIFA kuhusu ukiukwaji wa kanuni za maadili ya Yanga! Kanuni za FIFA na hata CAF zinakataza kabisa kujihusisha na siasa za vyama!

Itume kwa barua pepe
ethics@fifa.org

Anwani andika:
FIFA Ethics Committee
FIFA-Strasse 20
P.O. Box 8044
Zurich, Switzerland

Andika kwa kiingereza na unaweza kuweka hiki kipengele:
👇🏾

The actions of Young African Sports Club President, Eng. Hersi, on Aug 12, 2025 at Mlimani City, Dar es Salaam Tanzania publicly contributing, on behalf of the club, to and endorsing a political party @ccm_tanzania, constitute a direct and unequivocal breach of the FIFA Code of Ethics, specifically:

•Article 14 – Duty of Neutrality
•Article 19 – Conflicts of Interest

These rules strictly prohibit football officials from engaging in political activities or using their position to promote political interests.

Tuma itaeleweka
Wakipokea email za kutosha
 
Shabiki maandazi wala mihogo hamna lolote zaidi ya kupiga makelele vibanda umiza wenye timu yao wameamua
 
Nyuma mwiko ni CCM kitambo sana ni club ya chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…