Eng Hersi Said, kufumba na kufumbua, nahitaji huyo coach tapeli Roman Folz aondoke

Eng Hersi Said, kufumba na kufumbua, nahitaji huyo coach tapeli Roman Folz aondoke

Yanga naona wamepuuza wameamua kumbakisha Folz
Binafsi nitakuwa mtiifu Kwa maamzi ya viongozi wetu labda Kuna kitu wanajiamini kutoka kwake kuliko jicho langu la tactics linavomtazama
Kumfukuza watamfukuza tu, nafikiri wanataka wamuondoe katika kipindi ambacho joto la mashabiki limepoa.
 
Back
Top Bottom