Eng Hersi Said, kufumba na kufumbua, nahitaji huyo coach tapeli Roman Folz aondoke

Viongozi wamrejeshe kati ya Nabi ama Gamondi. Kati ya hao wawili I will definetely go for Gamondi kama starehe ni zake bana wao waangalie asiende na akina Mkude na wachezaji wengine.
 
Hakika tukimpata Gamondi itakuwa poa sana
 
IMG-20251003-WA0052.jpg
 
Viongozi wamrejeshe kati ya Nabi ama Gamondi. Kati ya hao wawili I will definetely go for Gamondi kama starehe ni zake bana wao waangalie asiende na akina Mkude na wachezaji wengine.
Nabi asirudi, hatutaki mambo ya kushinda goli 1 halafu tunakaa nyuma. Ni Kocha wa kizamani, hatufai.

Gamondi na Ramovich walikuwa na mpira mzuri kuliko Nabi.
 
Najizuia nisizungumze lolote kuhusu huyo kocha, mpaka timu itakapo cheza makundi ndipo nitakua na msimamo rasmi, ila kwasasa najihisi sina msimamo wowote.
 
Tangu nianze kuishabikia Yanga, sijawahi shuhudia kocha wa ukweli anaefikia hata robo ya Gamond.

**** kuna makosa waliyo wahi kuyafanya viongozi wa Yanga, basi ni kumtimua Gamond.

Kiufupi Yanga chini ya Gamond tulikua salama kuliko nyakati zozote zile.
 
Gamondi alikosa adabu
 
Wewe unajua mpira!
 
Gamondi alikosa adabu
Adabu ipi?
Upuuzi kama huo ndio umesababisha tuache kusajili mfungaji wa maana Sowah, badala yake tunaenda kununua garasa Boyeli eti kisa nidhamu, nidhamu inacheza?
Hata hiyo adabu munayo sema Gamond amekosa munashindwa kufafanua mbele yetu mashabiki ili nasisi tujue, badala yake ni ngonjera tu.
Mukubali mukatae, pale Yanga tulikosea sana.
 
Gamondi ilifikia wakati anaenda klabu na baadhi ya wachezaji kula bata. Mwisho wa siku timu ilianza kupoteza mwelekeo kwenye ligi! Technically, ni sahihi! Miguel Famondi ni kocha mzuri.
 
Kwenda Klabu na wachezaji kula bata, hilo jambo linazungumzika mbona!
Walishindwa nini kumuonya kuwa sisi kama club hatupendezewi na jambo hilo, je walifanya hivyo?

Siwezi kumuacha mpenzi wangu kisa ni mlevi, ilhali najua ananoga kuliko madem wangu wote nilio wahi deti nao.

Kiufupi pale, viongozi walilewa madaraka.
Vijana wa zamani walikua na msemo wao, "kuchamba kwingi.............
Pale injinia alichamba sana, mpaka akatoka na kinyesi.
 
Adabu ipi?
Upuuzi kama huo ndio umesababisha tuache kusajili mfungaji wa maana Sowah, badala yake tunaenda kununua garasa Boyeli eti kisa nidhamu, nidhamu inacheza?
Hata hiyo adabu munayo sema Gamond amekosa munashindwa kufafanua mbele yetu mashabiki ili nasisi tujue, badala yake ni ngonjera tu.
Mukubali mukatae, pale Yanga tulikosea sana.
Duh! Sowah tena!! Katika kitu smart Yanga walifanya ni kutomsajili Sowah, hamna kitu mule!
 
Yanga naona wamepuuza wameamua kumbakisha Folz
Binafsi nitakuwa mtiifu Kwa maamzi ya viongozi wetu labda Kuna kitu wanajiamini kutoka kwake kuliko jicho langu la tactics linavomtazama
 
Duuh kama ni kweli basi tuna safari ndefu.
 
Back
Top Bottom