Eng Hersi Said, kufumba na kufumbua, nahitaji huyo coach tapeli Roman Folz aondoke

Nabi ilimchukua muda kwasababu ya maingizo mengi ya wachezaji wapya. Ila Folz ana sababu gani ya kuchukua muda mrefu wakati aliyeondoka katika kikosi cha kwanza ni Khalid Aucho pekee?
Hili nalo neno mkuu, ila mimi niliposikia tu huyu dogo wa 34 years kupewa timu nilishangaa sana, hata yule mjerumani nilishangaa sababu mtu hajawahi kusimamia timu kubwa kama Yanga kisha unakuja kumpa kijiti.

Toka Gamond aondoke tumekuwa watu wa kubahatisha eneo la makocha. Kuna kipindi unatamani tumalizane na Gamond tofauti zetu tumpe timu.
 
Buildup ya Yanga ilikua ina anzia kwa Diara then Aucho kitendo cha kutokuwepo lazima timu ipoteze shape yake
Kuna mechi nyingi ambazo Aucho hakucheza kutokana na kuumia ama kuwa na kadi, je timu ilikuwa inapoteza shape yake kwenye build up?
 
Kama ulikua makini kuangalia ungeliona hilo, ndio maana Hamid mwishoni hapo alikua anawachezesha Aucho, Duke na Mudhathir ili waanze ku adopt hata kama ataondoka, kuna mechi moja Gamondi aliwahi kumtoa Aucho Yanga ilishambuliwa kama Nyuki mashabiki walipiga Kelele sana bila kujua Auncho alikua majeruhi
 
Aucho hakucheza mechi ya final CAFCC dhidi ya USMA na timu ilizima ikashinda
Aucho hakucheza mechi ya quarter final dhidi ya Mamelod timu ilipiga mwingi na bila dhulumat tungefuzu semi final

Hapa hamna coach acha kutetea upumbavu, wote ni Wanachama wa Yanga ila kwenye ukweli tuseme huyu Coach ni kilaza
 
Mimi nilimshtukia tangia mechi ya kwanza nikaanza kumtilia mashaka.

Baadaye nikaona videoclip Ali Kamwe anasema mechi ya kwanza wachezaji wamecheza kwa uwezo wao kocha ajaanza kufundisha tactics zake.

Nikajipa moyo kwa vile kocha bado ajaanza kufundisha mbinu zake uenda timu ikabadilika.

Cha ajabu hakuna mabadiliko timu inazidi kucheza hovyo tu.

Mwisho nikahitimisha kocha uwezo mdogo.

Kwa kifupi Yanga hatuna kocha.

vibertz
 
Coach anazidi kuondoa hata kile walichoweka akina Milouf Hamdi, yeye anabomoa tu
 
Mimi nilimshtukia tangia mechi ya kwanza nikaanza kumtilia mashaka.

Baadaye nikaona videoclip Ali Kamwe anasema mechi ya kwanza wachezaji wamecheza kwa uwezo wao kocha ajaanza kufundisha tactics zake.

Nikajipa moyo kwa vile kocha bado ajaanza kufundisha mbinu zake uenda timu ikabadilika.

Cha ajabu hakuna mabadiliko timu inazidi kucheza hovyo tu.

Mwisho nikahitimisha kocha uwezo mdogo.

Kwa kifupi Yanga hatuna kocha.

vibertz
Kocha alikuwa na jambo jepesi sana kalifanya liwe gumu. Kocha yeyote mwenye uzoefu alikuwa anapita kwenye ile ile first eleven ya msimu ulioisha huku akiingiza mbinu zake na kuingiza wachezaji wapya taratibu. Uzuri ni kwamba aliyeondoka katika kikosi cha kwanza ni mchezaji mmoja tu. Alichokifanya ni kuharibu kabisa mfumo mzima wa timu, nahisi atampa kazi kubwa hata kocha mbadala wake kwa kupitia desa lake ambalo lipo OP
 
Ndugu mchambuzi maarufu naomba nitofautiane nawe.
Tumpe muda kidogo coach.
Ngoja atuvushe kuingia makundi CAFCL.
 
Hilo sahau
Tunapenda kufungwa huko Malawi
Hamna quality ya kikosi cha Yanga hakiwezi kufanana na hiyo timu ya Malawi hivyo Yanga itashinda. Ila makundi kwa kocha huyu haitoboi, na ligi kuu timu inaweza kupata sare nyingi ama kupoteza kwenye viwanja vya mikoani kwa kocha huyu
 
Naheshimu sana mawazo yako mkuu
Uko sahihi kabisa mwananchi mwenzangu
 
Kwani Its Pancho anasemaje?
Ninachokiona ni kuwa mkuu

Shida ilianzia kwa yule moalim aliyekuwa mkurugenzi wa ufundi kuondoka

Yule jamaa ndio alifanya kazi ya hamdi kuwa easy sana

Now pale benchi mwenyeji ni Walter tu yule meneja

So Folz asifukuzwe ila moalin arudishwe then tunabeba tena kombe
 
Back
Top Bottom