ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
- Thread starter
- #21
Mkuu kuwa mwanamichezo huu ushabiki usitupumbazeMimi ni shabiki lia lia wa Yanga. Ila siungi mkono hoja. Kocha bado ni mgeni. Apewe muda. Uongozi utafukuza makocha wangapi? Kocha amesimamia mechi 6! Ameshinda 5, ametoa sare 1.
Sioni kama kuna sababu ya kumhukumu kwa sasa kiasi cha kufikia hatua ya kumuita majina ya ajabu ajabu. Eti sijui tapeli! Muda ukifika kama ataonekana kweli hafai, nitakuunga mkono. Ila kwa sasa, HAPANA. Ni mapema sana kumhukumu.
Tuna michezo mikubwa ya kimataifa hivi huyu Coach akiulizwa maswali ya mbinu na makocha wakubwa akina na Rulan, Marcel Kola, Miguel Cardoso, Jurcic, Marher Kanzari atajibu Nini.
Itakuwa aibu ya mwaka.
Huyu Coach ni kilaza mno amefika Yanga Toka July saiv September, hana first 11 anabahatisha tu, hakuna falsafa anayoiingiza kwenye timu.
Me sihusishi ubora wake na matokeo ya Leo, najua wazi haya matokeo ni ya kawaida katika ligi, ila kusema ukweli timu ni dhaifu kimbinu mno