ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Dullah Makabila na Manara wana uhasama mkubwa. Manara alimwoa aliyekuwa mke wa Dullah Makabila (zaylisa) huu mzozo ulikuwa mkubwa hadi Makabila akatunga wimbo wa kumkejeli Manara wa mzungu pori
Dullah Makabila aliyekuwa shabiki wa Yanga alihamia Simba na kufanya tamasha la Simba day
Sasa Leo kaitab,Rais wa Yanga ameonekana yupo na Dullah Makabila, Sasa hii ina maana Manara anafukuzwa kiaina Yanga, hapo ni akili zake ajiongeze, najua kesho ataamka analia Hersi akili kubwa