Eng Hersi Said kumkaribisha Dullah Makabila Yanga, ni mbinu ya kumfukuza Manara Yanga

Wala mwenyewe hajali,yeye na Yanga hadi mauti
 

Attachments

  • Screenshot_20240817-193139.jpg
    371 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1713799997765.jpg
    53.3 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1718345913057.jpg
    35.8 KB · Views: 3
Kwa hiyo unataka kumchagulia marafiki? Hizi mambo eti mshikaji wangu kakosana na fulani basi na mimi nimchukie wapi na wapi. Kila mtu na maisha yake mkuu.
 
Yule balozi aliwekwa pembeni katika mazingira ya kutatanisha, sijui kwa nini maana mpaka leo sijasikia skendo inayomuhusu
Yule Balozi kipindi akiwa CS,alikua anatoa siri za pale mjengoni! Kila akipanga kitu mzee Magu,kabla hajalifanyia kazi,linakua lishafika nje hasa kwa JK na cycle yake!!
 
Ile siku alipisema tu kwamba alikuwa amefungiwa lakini akaongezewa mshahara nikajua kibarua kishaota nyasi swala la salary ni privacy matter what if kama priva Ali kamwe na Abdul azizi licha ya kufanya kazi na kujituma hawakuongezewa ina maana unamtengenezea boss uhasama.
 
Alijichanganya mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…