Eng. Hersi Said (rais wa Yanga) umemtendea nini Feisal Salum mpaka akuone Kama kijipu chungu hataki kabisa kufanya kazi na wewe?

Dharau si unajua mbongo akiwa chawa wa mwarabu 🀣🀣
 

Kosa la Eng Hersi ni kufanya Usajili wa maana hivyo Feisal haonekani kabisa na ndiyo imemjengea beef na mla urojo Amijei.
 
Bongo ni nomaa

Nilikuaga nacheza mpira kuna kiongozi wa timu alitakaga nimfanye ndio awe ananipa namba kwenye mechi cha ajabu ni mwanaume, nikaachaga kabsa kujishughulisha na ball nikaona nifanye inshu zingine nimeona huyo kataka nimfanye je? Wakinitaka mimi je? si itakuwa balaha nikakimbiaga ball sasa hivi nna harakati zingine

Pengine mkuu anataka amle fei kidonda au anataka yeye aliwe kidonda na fei yote yanawezekana
 
Inafikirisha sana hiii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hyo ukakataa mchezo wa kukanyagana
 
walio mjaza akavimba wameshamtoroka hawaoni tena. So hana budi kumchagua, kumtaja na kumlaumu yeyote ndani ya yanga eti ndio awe tatizo kwake kuendelea kuwa Yanga. Huu ni ukosefu wa hoja ya msingi yenye mashiko na itakayoeleweka kwa wadau na wanamichezo kwa ujumla. Angekua na sababu ya maana na kueleweka hata kama angekua anabanwa na Sheria hii shida ingekwisha kitambo sana . Tuepuke na tamaa za kufanikiwa haraka na Kiburi isoona mbele
 
Ujinga mtupu..!!! Sasa huko CAS anaenda kumshitaki Hersi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…