NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
Evidence [emoji41]Fei toto kaukataa ushoga wa Avic Town
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Evidence [emoji41]Fei toto kaukataa ushoga wa Avic Town
Dharau si unajua mbongo akiwa chawa wa mwarabu 🤣🤣Feisal hana bifu na Yanga Bali ana bifu binafsi na kiongozi wa Yanga (eng hers).
Je Umechukua mchumba wake (mpenzi) wake??
Nini umemfanya kijana huyu mpaka kuamua kabisa Bora aachane na mpira lakini siyo kufanya kazi na wewe??
NALIA NGWENA nimeweka pembeni ushabiki nimejiuliza sana haya maswali kwa jicho la tatu bila Shaka Kuna kitu kikubwa nyuma ya Pazia na bwana mdogo Feisal Salumu anafukia (anaficha) hataki kuweka wazi.
NALIA NGWENA nitafurahi sana Kama Eng hers utakuja hadharani kuzungumza nini ulichomfanya Feisal lakini usipojibu mashabiki tutabaki na mashaka makubwa na kuwa wachezaji wetu huko avic town Kuna Mambo ya ajabu wanafanyiwa.
Nawasilisha hoja.
Aisee inafikirisha sana.Dharau si unajua mbongo akiwa chawa wa mwarabu [emoji1787][emoji1787]
Feisal hana bifu na Yanga Bali ana bifu binafsi na kiongozi wa Yanga (eng hers).
Je Umechukua mchumba wake (mpenzi) wake??
Nini umemfanya kijana huyu mpaka kuamua kabisa Bora aachane na mpira lakini siyo kufanya kazi na wewe??
NALIA NGWENA nimeweka pembeni ushabiki nimejiuliza sana haya maswali kwa jicho la tatu bila Shaka Kuna kitu kikubwa nyuma ya Pazia na bwana mdogo Feisal Salumu anafukia (anaficha) hataki kuweka wazi.
NALIA NGWENA nitafurahi sana Kama Eng hers utakuja hadharani kuzungumza nini ulichomfanya Feisal lakini usipojibu mashabiki tutabaki na mashaka makubwa na kuwa wachezaji wetu huko avic town Kuna Mambo ya ajabu wanafanyiwa.
Nawasilisha hoja.
Sasa kwanini wasimlipishe na wakamundoa kikosini?Kosa la Eng Hersi ni kufanya Usajili wa maana hivyo Feisal haonekani kabisa na ndiyo imemjengea beef na mla urojo Amijei.
nasikia aliombwa ku afandewia ☹️☹️Naunga mkono hoja yako...
Bwana mdogo hataki kabisa kusikia habari za hersiKosa la Eng Hersi ni kufanya Usajili wa maana hivyo Feisal haonekani kabisa na ndiyo imemjengea beef na mla urojo Amijei.
Umewahi kupata fursa kama hii ya kuruhusiwa kulia baada ya wewe kushindwa?Naunga mkono hoja yako...
Kumbe hakukosea aliposema mnamtukania mama yake.Yaani wachezaji wote mpaka wa Yanga Princes hawana bifu na Eng Hers...!!!
Yeye tu...ndio anachukiwa....!!??
Apeleke upuuzi wake kwa mama Ake...
Kwani mama Ake alipotuambia mtoto wake anakula ugali na Sukari..!! hakututukana!?Kumbe hakukosea aliposema mnamtukania mama yake.
Inafikirisha sana hiii.Bongo ni nomaa
Nikikuwga nacheza mpira kuna kiongozi wa timu alitakaga nimfanye ndio awe ananipa namba kwenye mechi cha ajabu ni mwanaume, nikaachaga kabsa kujishughulisha na ball nikaona nifanye inshu zingine nimeona huyo kataka nimfanye je? Wakinitaka mimi je? si itakuwa balaha nikakimbiaga ball sasa hivi nna harakati zingine
Pengine mkuu anataka amle fei kidonda au anataka yeye aliwe kidonda na fei yote yanawezekana
Mtu akila ugali na sukari ni tusi kumbe.?Kwani mama Ake alipotuambia mtoto wake anakula ugali na Sukari..!! hakututukana!?
We unaona ilikaa sawa SAWA!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hyo ukakataa mchezo wa kukanyaganaBongo ni nomaa
Nikikuwga nacheza mpira kuna kiongozi wa timu alitakaga nimfanye ndio awe ananipa namba kwenye mechi cha ajabu ni mwanaume, nikaachaga kabsa kujishughulisha na ball nikaona nifanye inshu zingine nimeona huyo kataka nimfanye je? Wakinitaka mimi je? si itakuwa balaha nikakimbiaga ball sasa hivi nna harakati zingine
Pengine mkuu anataka amle fei kidonda au anataka yeye aliwe kidonda na fei yote yanawezekana
Kula ugali na Sukari maana yake nini!?Mtu akila ugali na sukari ni tusi kumbe.?
au alitaka kutolewa sadaka akaona isiwe tabu..!!!??? 😀😀😀Fei toto kaukataa ushoga wa Avic Town
walio mjaza akavimba wameshamtoroka hawaoni tena. So hana budi kumchagua, kumtaja na kumlaumu yeyote ndani ya yanga eti ndio awe tatizo kwake kuendelea kuwa Yanga. Huu ni ukosefu wa hoja ya msingi yenye mashiko na itakayoeleweka kwa wadau na wanamichezo kwa ujumla. Angekua na sababu ya maana na kueleweka hata kama angekua anabanwa na Sheria hii shida ingekwisha kitambo sana . Tuepuke na tamaa za kufanikiwa haraka na Kiburi isoona mbeleFeisal hana bifu na Yanga Bali ana bifu binafsi na kiongozi wa Yanga (eng hers).
Je Umechukua mchumba wake (mpenzi) wake??
Nini umemfanya kijana huyu mpaka kuamua kabisa Bora aachane na mpira lakini siyo kufanya kazi na wewe??
NALIA NGWENA nimeweka pembeni ushabiki nimejiuliza sana haya maswali kwa jicho la tatu bila Shaka Kuna kitu kikubwa nyuma ya Pazia na bwana mdogo Feisal Salumu anafukia (anaficha) hataki kuweka wazi.
NALIA NGWENA nitafurahi sana Kama Eng hers utakuja hadharani kuzungumza nini ulichomfanya Feisal lakini usipojibu mashabiki tutabaki na mashaka makubwa na kuwa wachezaji wetu huko avic town Kuna Mambo ya ajabu wanafanyiwa.
Nawasilisha hoja.
Ujinga mtupu..!!! Sasa huko CAS anaenda kumshitaki Hersi?Feisal hana bifu na Yanga Bali ana bifu binafsi na kiongozi wa Yanga (eng hers).
Je Umechukua mchumba wake (mpenzi) wake??
Nini umemfanya kijana huyu mpaka kuamua kabisa Bora aachane na mpira lakini siyo kufanya kazi na wewe??
NALIA NGWENA nimeweka pembeni ushabiki nimejiuliza sana haya maswali kwa jicho la tatu bila Shaka Kuna kitu kikubwa nyuma ya Pazia na bwana mdogo Feisal Salumu anafukia (anaficha) hataki kuweka wazi.
NALIA NGWENA nitafurahi sana Kama Eng hers utakuja hadharani kuzungumza nini ulichomfanya Feisal lakini usipojibu mashabiki tutabaki na mashaka makubwa na kuwa wachezaji wetu huko avic town Kuna Mambo ya ajabu wanafanyiwa.
Nawasilisha hoja.
Unaweza kukuta walikua wanatafunana mmoja kaachika au jamaa karudi kwa mkewe huyu analia wivu.Kuna sili kubwa sana nyuma ya pazia.