Eng. Hersi Said (rais wa Yanga) umemtendea nini Feisal Salum mpaka akuone Kama kijipu chungu hataki kabisa kufanya kazi na wewe?

Yaani wachezaji wote mpaka wa Yanga Princes hawana bifu na Eng Hers...!!!

Yeye tu...ndio anachukiwa....!!??

Apeleke upuuzi wake kwa mama Ake...

Kwani hata kwenye ofisi za umma na taasisi binafsi si mabifu ya namna hiyo yapo?
Ni ajabu kukuta bifu ya mtu mmoja na kiongozi wake ndani ya taasisi?
Mimi binafsi ni shahidi kuna taasisi moja niliwahi fanya kazi kuna mfanyakazi mmoja alikuwa na bifu na boss, wengine wala hatukuwa na shida yoyote!
 
Hersi na Manara walikuwa na kesi TFF baada ya ule ujinga wa Manara siku ya mwananchi, TFF wakaificha ile kesi chini ya kapeti mpaka leo, mpaka hapo utaona vile TFF inatumiwa na baadhi ya watu kwa manufaa yao.
 
huyo dogo kwanza mimi huwa simpendi achezee yanga, hajui mpira. wamchinjie baharini tu.
 
Kabisa kabisa....

Feisal ana hoja nzito zinazohitaji majibu ya mhusika.
 
Hersi na Manara walikuwa na kesi TFF baada ya ule ujinga wa Manara siku ya mwananchi, TFF wakaificha ile kesi chini ya kapeti mpaka leo, mpaka hapo utaona TFF inatumiwa na baadhi ya watu kwa manufaa yao.
TFF ni chama Cha mpira Cha Simba na Yanga tu.
 
Jibuni hoja za Feisal, hii 'spinning' haiwezi kuzima au kuzuia hoja zake.
Tujibu hoja ili iweje, hoja tumesha zijibu na ndio maana tukashinda mara tatu TFF.Endeleeni kumchangia hizo hela tutaenda kuzijibu tena kwa mara ya nne hizo hoja CAS.

Haya mazungumzo na makelele kwenye vyombo vya habari ni kutafuta huruma tu.
 
Labda alikuwa BASHA wake akacheat, maana sio kwa chuki hizo..
 
Oyaaa Manara akuweke kwenye list ya Algeria bora wamwache yule msemaji wa kulinganisha washauri wa Feisal na maandazi
 
Halafu eng Pia alimuomba msamaha Fei kwani alimfanya nini.Make Hadi kuona mkubwa aanaomba msamaha kibongo bongo ni jambo zito.
@NALIA NGWENA nimetafakari sana Tena sana yaani Kuna kigugumizi hapo (nyuma ya pazia)
 
Hersi na Manara walikuwa na kesi TFF baada ya ule ujinga wa Manara siku ya mwananchi, TFF wakaificha ile kesi chini ya kapeti mpaka leo, mpaka hapo utaona TFF inatumiwa na baadhi ya watu kwa manufaa yao.
Hii ishu ndio inayonifanya nishindwe kuiamini TFF kwenye baadhi ya mambo

Ukiangalia ishu ya Feisali kwa namna nyingine utaona TFF walitumia kama daraja kurejesha mahusiano yao na Yanga ambayo huko nyuma yalionesha kuwa na mgogoro

Kile kipindi ambacho hata humu mashabiki wa Yanga walikuwa wanatuita TFF Fc ndio kipindi ambacho hakukuwa na mahusiano kati ya Yanga na TFF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…