Maana yake kula ugali na sukari.Kula ugali na Sukari maana yake nini!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana yake kula ugali na sukari.Kula ugali na Sukari maana yake nini!?
Yaani wachezaji wote mpaka wa Yanga Princes hawana bifu na Eng Hers...!!!
Yeye tu...ndio anachukiwa....!!??
Apeleke upuuzi wake kwa mama Ake...
Basi na maneno "apeleke upuuzi wake kwa mama Ake" sio TusiMaana yake kula ugali na sukari.
Kabisa kabisa....Feisal hana bifu na Yanga Bali ana bifu binafsi na kiongozi wa Yanga (eng hers).
Je Umechukua mchumba wake (mpenzi) wake??
Nini umemfanya kijana huyu mpaka kuamua kabisa Bora aachane na mpira lakini siyo kufanya kazi na wewe??
NALIA NGWENA nimeweka pembeni ushabiki nimejiuliza sana haya maswali kwa jicho la tatu bila Shaka Kuna kitu kikubwa nyuma ya Pazia na bwana mdogo Feisal Salumu anafukia (anaficha) hataki kuweka wazi.
NALIA NGWENA nitafurahi sana Kama Eng hers utakuja hadharani kuzungumza nini ulichomfanya Feisal lakini usipojibu mashabiki tutabaki na mashaka makubwa na kuwa wachezaji wetu huko avic town Kuna Mambo ya ajabu wanafanyiwa.
Nawasilisha hoja.
Director wa movie ya Fei uzuri Kipanya kamruhusu.
Au mlitaka awe kama Kabwili ndiyo mjue Hersi ni mtu m'badi?Evidence [emoji41]
Evidenceinasemekana hers alitaka kumzindua album
Wengi wetu hatufikiri kiundani Ila tumekalia ushabiki tu.Kabisa kabisa....
Feisal ana hoja nzito zinazohitaji majibu ya mhusika.
TFF ni chama Cha mpira Cha Simba na Yanga tu.Hersi na Manara walikuwa na kesi TFF baada ya ule ujinga wa Manara siku ya mwananchi, TFF wakaificha ile kesi chini ya kapeti mpaka leo, mpaka hapo utaona TFF inatumiwa na baadhi ya watu kwa manufaa yao.
Tujibu hoja ili iweje, hoja tumesha zijibu na ndio maana tukashinda mara tatu TFF.Endeleeni kumchangia hizo hela tutaenda kuzijibu tena kwa mara ya nne hizo hoja CAS.Jibuni hoja za Feisal, hii 'spinning' haiwezi kuzima au kuzuia hoja zake.
Labda alikuwa BASHA wake akacheat, maana sio kwa chuki hizo..Feisal hana bifu na Yanga Bali ana bifu binafsi na kiongozi wa Yanga (eng hers).
Je Umechukua mchumba wake (mpenzi) wake??
Nini umemfanya kijana huyu mpaka kuamua kabisa Bora aachane na mpira lakini siyo kufanya kazi na wewe??
NALIA NGWENA nimeweka pembeni ushabiki nimejiuliza sana haya maswali kwa jicho la tatu bila Shaka Kuna kitu kikubwa nyuma ya Pazia na bwana mdogo Feisal Salumu anafukia (anaficha) hataki kuweka wazi.
NALIA NGWENA nitafurahi sana Kama Eng hers utakuja hadharani kuzungumza nini ulichomfanya Feisal lakini usipojibu mashabiki tutabaki na mashaka makubwa na kuwa wachezaji wetu huko avic town Kuna Mambo ya ajabu wanafanyiwa.
Nawasilisha hoja.
Oyaaa Manara akuweke kwenye list ya Algeria bora wamwache yule msemaji wa kulinganisha washauri wa Feisal na maandaziFeisal hana bifu na Yanga Bali ana bifu binafsi na kiongozi wa Yanga (eng hers).
Je Umechukua mchumba wake (mpenzi) wake??
Nini umemfanya kijana huyu mpaka kuamua kabisa Bora aachane na mpira lakini siyo kufanya kazi na wewe??
NALIA NGWENA nimeweka pembeni ushabiki nimejiuliza sana haya maswali kwa jicho la tatu bila Shaka Kuna kitu kikubwa nyuma ya Pazia na bwana mdogo Feisal Salumu anafukia (anaficha) hataki kuweka wazi.
NALIA NGWENA nitafurahi sana Kama Eng hers utakuja hadharani kuzungumza nini ulichomfanya Feisal lakini usipojibu mashabiki tutabaki na mashaka makubwa na kuwa wachezaji wetu huko avic town Kuna Mambo ya ajabu wanafanyiwa.
Nawasilisha hoja.
@NALIA NGWENA nimetafakari sana Tena sana yaani Kuna kigugumizi hapo (nyuma ya pazia)Halafu eng Pia alimuomba msamaha Fei kwani alimfanya nini.Make Hadi kuona mkubwa aanaomba msamaha kibongo bongo ni jambo zito.
Hii ishu ndio inayonifanya nishindwe kuiamini TFF kwenye baadhi ya mamboHersi na Manara walikuwa na kesi TFF baada ya ule ujinga wa Manara siku ya mwananchi, TFF wakaificha ile kesi chini ya kapeti mpaka leo, mpaka hapo utaona TFF inatumiwa na baadhi ya watu kwa manufaa yao.
Mimi nilivomsikiliza tu nkajua hapa Kuna kitu wananchi hatukijui na hakitakiwi kiwekwa hadharaniKuna sili kubwa sana nyuma ya pazia.
NAKAZIA.Mimi nilivomsikiliza tu nkajua hapa Kuna kitu wananchi hatukijui na hakitakiwi kiwekwa hadharani
Sijui Ni Nini ila acha inyeshe patavuja tuuu