NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #81
NAKAZIAFeisal ni mtu mzima na naamini ana akili timamu. Hivyo basi kuna kitu hakipo sawa hapo Yanga, haswa Raisi wenu. Isipokuwa unapokuwa unashindana na taasisi kubwa kama Yanga lazima uonekane una matatizo.
Haiwezekani aache Yanga tena kipindi iko vizuri ndani na nje ya nchi. Haiwezekani aache matunda/kivuri atimke pasipo sababu.
Hayo mambo yanafanywa chumbani siwezi kukupigia maana hua unakua naoBabu viongozi wenu mashoga banah mpaka tuseme live
Hapana ni basha wakoKwa hiyo unataka kusema feisal ni mumeo???
Wewe ndio takataka ambazo zikishavimbiwa mihogo tu basi kazi ya kuropoka tu.Feisal hana bifu na Yanga Bali ana bifu binafsi na kiongozi wa Yanga (eng hers).
Je Umechukua mchumba wake (mpenzi) wake??
Nini umemfanya kijana huyu mpaka kuamua kabisa Bora aachane na mpira lakini siyo kufanya kazi na wewe??
NALIA NGWENA nimeweka pembeni ushabiki nimejiuliza sana haya maswali kwa jicho la tatu bila Shaka Kuna kitu kikubwa nyuma ya Pazia na bwana mdogo Feisal Salumu anafukia (anaficha) hataki kuweka wazi.
NALIA NGWENA nitafurahi sana Kama Eng hers utakuja hadharani kuzungumza nini ulichomfanya Feisal lakini usipojibu mashabiki tutabaki na mashaka makubwa na kuwa wachezaji wetu huko avic town Kuna Mambo ya ajabu wanafanyiwa.
Nawasilisha hoja.
Hata ukikazwa ni sawa tu, chaguo ni lako.NAKAZIA
Pole sana shabiki maandaziWewe ndio takataka ambazo zikishavimbiwa mihogo tu basi kazi ya kuropoka tu.
Subirini tukose kombe ili mfurahi vizuri then rejoice na enemy of Yanga.
Asante sana afande wa zenji.Hata ukikazwa ni sawa tu, chaguo ni lako.
Majobless mmegeuza hili jukwaa kuwa la hovyo kabisa, maana huna kazi ya kufanya zaidi ya kupost pumba tu frequently.Pole sana shabiki maandazi
Looh!!Hata ukikazwa ni sawa tu, chaguo ni lako.
Achana na mbumbumbu hawa mkuu watakusumbua tu akiliKwani mama Ake alipotuambia mtoto wake anakula ugali na Sukari..!! hakututukana!?
We unaona ilikaa sawa SAWA!?
Maneno yako ni pumba sana nipo Jf mwaka wa 9 Sasa.Majobless mmegeuza hili jukwaa kuwa la hovyo kabisa, maana huna kazi ya kufanya zaidi ya kupost pumba tu frequently.
Fuseeki.
Mtu akila ugali na sukari ni tusi kumbe.?
[emoji16]Fei anaona kwamba habembelezwi Kwa kiwango kile alichotegemea.
Ni Kama mwanamke aliyebipu kuachika ili kupima upendo alionao mumewe lakini kakuta mume naye anakuwa sitaki nataka
Hii sio point Bali ni ujuha ,Kwan haiwezekan mtaan ukakosana na mmoja tu na wengine mkawa peace?Yaani wachezaji wote mpaka wa Yanga Princes hawana bifu na Eng Hers...!!!
Yeye tu...ndio anachukiwa....!!??
Apeleke upuuzi wake kwa mama Ake...
Kwenye hizo sajili ni Nan anamzid kiwango fei?Kosa la Eng Hersi ni kufanya Usajili wa maana hivyo Feisal haonekani kabisa na ndiyo imemjengea beef na mla urojo Amijei.
Kale ugali na Sukari huko....mwehuHii sio point Bali ni ujuha ,Kwan haiwezekan mtaan ukakosana na mmoja tu na wengine mkawa peace?
Vitu vidogo km hivi huwez hata kufikirisha akil si Bora ukae kimya tu.
Yaan unataka kuaminisha umma Ili eng. Aonekane ni mbaya basi alipaswa agombane au apishane na wachezaj wote?[emoji706][emoji706]
SILI[emoji777]Kuna sili kubwa sana nyuma ya pazia.
HUNA AKILI.Yaani wachezaji wote mpaka wa Yanga Princes hawana bifu na Eng Hers...!!!
Yeye tu...ndio anachukiwa....!!??
Apeleke upuuzi wake kwa mama Ake...
Sawa[emoji23][emoji23]HUNA AKILI.