Eng. Hersi Said (rais wa Yanga) umemtendea nini Feisal Salum mpaka akuone Kama kijipu chungu hataki kabisa kufanya kazi na wewe?

Eng. Hersi Said (rais wa Yanga) umemtendea nini Feisal Salum mpaka akuone Kama kijipu chungu hataki kabisa kufanya kazi na wewe?

Feisal ni mtu mzima na naamini ana akili timamu. Hivyo basi kuna kitu hakipo sawa hapo Yanga, haswa Raisi wenu. Isipokuwa unapokuwa unashindana na taasisi kubwa kama Yanga lazima uonekane una matatizo.

Haiwezekani aache Yanga tena kipindi iko vizuri ndani na nje ya nchi. Haiwezekani aache matunda/kivuri atimke pasipo sababu.
NAKAZIA
 
Feisal hana bifu na Yanga Bali ana bifu binafsi na kiongozi wa Yanga (eng hers).

Je Umechukua mchumba wake (mpenzi) wake??

Nini umemfanya kijana huyu mpaka kuamua kabisa Bora aachane na mpira lakini siyo kufanya kazi na wewe??

NALIA NGWENA nimeweka pembeni ushabiki nimejiuliza sana haya maswali kwa jicho la tatu bila Shaka Kuna kitu kikubwa nyuma ya Pazia na bwana mdogo Feisal Salumu anafukia (anaficha) hataki kuweka wazi.

NALIA NGWENA nitafurahi sana Kama Eng hers utakuja hadharani kuzungumza nini ulichomfanya Feisal lakini usipojibu mashabiki tutabaki na mashaka makubwa na kuwa wachezaji wetu huko avic town Kuna Mambo ya ajabu wanafanyiwa.

Nawasilisha hoja.
Wewe ndio takataka ambazo zikishavimbiwa mihogo tu basi kazi ya kuropoka tu.

Subirini tukose kombe ili mfurahi vizuri then rejoice na enemy of Yanga.
 
Majobless mmegeuza hili jukwaa kuwa la hovyo kabisa, maana huna kazi ya kufanya zaidi ya kupost pumba tu frequently.

Fuseeki.
Maneno yako ni pumba sana nipo Jf mwaka wa 9 Sasa.

Sema wewe ndiyo kuku kishingo humu mnataka tuisifie yanga hata Kama inafanya ujinga
 
Mtu akila ugali na sukari ni tusi kumbe.?
1683961993731.png
 
Fei anaona kwamba habembelezwi Kwa kiwango kile alichotegemea.

Ni Kama mwanamke aliyebipu kuachika ili kupima upendo alionao mumewe lakini kakuta mume naye anakuwa sitaki nataka
[emoji16]
 
Yaani wachezaji wote mpaka wa Yanga Princes hawana bifu na Eng Hers...!!!

Yeye tu...ndio anachukiwa....!!??

Apeleke upuuzi wake kwa mama Ake...
Hii sio point Bali ni ujuha ,Kwan haiwezekan mtaan ukakosana na mmoja tu na wengine mkawa peace?
Vitu vidogo km hivi huwez hata kufikirisha akil si Bora ukae kimya tu.
Yaan unataka kuaminisha umma Ili eng. Aonekane ni mbaya basi alipaswa agombane au apishane na wachezaj wote?[emoji706][emoji706]
 
Kosa la Eng Hersi ni kufanya Usajili wa maana hivyo Feisal haonekani kabisa na ndiyo imemjengea beef na mla urojo Amijei.
Kwenye hizo sajili ni Nan anamzid kiwango fei?
Muda mwingine watz tuache unafki kisa tu hatak kuendelea kuwepo yanga .
Mchezaj akiwa yanga anakua wa maana akitaka kutoka mnasahau Kila kitu ,huo ni ushamba na umaskin wa fikra
 
Hii sio point Bali ni ujuha ,Kwan haiwezekan mtaan ukakosana na mmoja tu na wengine mkawa peace?
Vitu vidogo km hivi huwez hata kufikirisha akil si Bora ukae kimya tu.
Yaan unataka kuaminisha umma Ili eng. Aonekane ni mbaya basi alipaswa agombane au apishane na wachezaj wote?[emoji706][emoji706]
Kale ugali na Sukari huko....mwehu
 
Back
Top Bottom