[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mtu kazi unayoo. Poleeeeehunapata faida gani kuchafua watu humu? either wanafanya au hawafanyi can't you mind your own business? thread imegeuka kua mambo ya ushoga why don't you behave like a man?
Kipanya kajidhalilisha na mtoa post umepata jibu lako kuwa hii ilikuwa ni movie, sasa mtafute Feisal akuambie nani anamtumikiaDirector wa movie ya Fei uzuri Kipanya kamruhusu.
Wewe unajua zaidi ya bangiHuna hata unacho kijua wee, bora ukae kimyaa tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa sanaaaa, maelezo yote haya nilijua bas hata unafuatilia hili sakata kwa Weledi, kumbe umeweka ushabiki na upashkunaa mbeleeHabaniwi kuondoka ,afuate taratibu za kuondoka ,hivi ushawahi kuajiriwa au umeajiriwa? Unajua taratibu za kuvunja mkataba? Ukivunja mkataka kihuni inabidi baadhi ya mambo uilipe kampuni kama walikupa training kuna idadi ya muda inabidi utumikie ili fedha waliyotoa kwenye training irude kama ikivunja kiuni unalipa mshahara mmoja na fedha ya trainings na other kama zipo.
Sasa huyo AMIJEI kavunja mkataba online(instagram/facbook) hataki kwenda kuonana na yanga ,bado feisal ni mchezaji wa yanga ila ni mtoro ,Yanga hawana time naye ndiyo maana achezi ila yanga ina mafanikio kama YOTE.....Yanga wanamtaka wakae mezani wakubaliane terms za kuvunja mkataba.
Muache aende CAS akadondokee PUA na atawalipa yanga fedha ndefu otherwise abadili career aende kuuza urojo JAMBIANI au CHAKECHAKE.
Km sio ugoroo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe unajua zaidi ya bangi
Wote wale masotojo yeye alishwe ugali na sukari, apeleke upashkuna wake wa kizanzibariYaani wachezaji wote mpaka wa Yanga Princes hawana bifu na Eng Hers...!!!
Yeye tu...ndio anachukiwa....!!??
Apeleke upuuzi wake kwa mama Ake...
Nitolee bangi zako, mwenyewe kasema hana tatizo na mkataba wala mshahara bali manyanyaso bali ananyanyaswa, mmesikia CAS wanasuluhisha ndoa wajinga wa kipemba nyieKm sio ugoroo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gubu la kipemba ndio lililotokeaNini kimetokea Hilo ndiyo kubwa kichwani mwangu.
Kwa sheria zipi wakati hataki kwenda kuzungumza na uongoziSasa kwanini wasimlipishe na wakamundoa kikosini?
Fei: nilizungumza masaa sita na Hersi.Kwa sheria zipi wakati hataki kwenda kuzungumza na uongozi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umevurugwaaa?? Hebu relaaaaaaxxNitolee bangi zako, mwenyewe kasema hana tatizo na mkataba wala mshahara bali manyanyaso bali ananyanyaswa, mmesikia CAS wanasuluhisha ndoa wajinga wa kipemba nyie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa sanaaaa, maelezo yote haya nilijua bas hata unafuatilia hili sakata kwa Weledi, kumbe umeweka ushabiki na upashkunaa mbelee
Sasa mie wala sijisumbui tenaa kuhangaika kuandika vitu ambavyo nlisha andika, wengine pia waliandika, na Fei alitolea ufafanuziii pia.
Tukutane baada ya CAS.
Fei: nilizungumza masaa sita na Hersi.
Hersi: Fei ana nidhamu, anadanganywa, option ni tatu tu. Aje tumuongezee maslahi, aje amalizie mkataba, timu inayomtaka ije.
Fei: Sina timu inayonitaka, Sipo tayari kufanya kazi na Hersi bora nikae mtaani.
TFF: Wewe ni mchezaji wa Yanga tumeshamaliza hilo. Nenda kakae nao.
Umeelewa nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pesa itachangwaa na CAS ataenda, uzuri Fei yeye anajua nn anatakaa. Ko haisumbuii hiyoooNaandika facts siendeshwi na ushabiki ,nimekuelewa ngoja tuone huko CAS kama atatoboa.
Makolo Mchangieni pesa za kuendesha kesi maana hamkufuata utaratibu kumchukua.
Maneno ya Feisal ya kulishwa tumesikia akifundishwa kwenye clip kwa hiyo hana credibility ya kusema alikaa masaa sita na Hersi, wapi, lini? Maana hata mwanasheria wa Yanga amerudia msimamo wa Yanga. Kwenye huo mkutano ulifanyika bila wawakilishi?Fei: nilizungumza masaa sita na Hersi.
Hersi: Fei ana nidhamu, anadanganywa, option ni tatu tu. Aje tumuongezee maslahi, aje amalizie mkataba, timu inayomtaka ije.
Fei: Sina timu inayonitaka, Sipo tayari kufanya kazi na Hersi bora nikae mtaani.
TFF: Wewe ni mchezaji wa Yanga tumeshamaliza hilo. Nenda kakae nao.
Umeelewa nini?
Nataka nikufahamisheni kuhusu wa ZanzibariFeisal hana bifu na Yanga bali ana bifu binafsi na kiongozi wa Yanga (Eng Hers).
Je Umechukua mchumba wake (mpenzi) wake?
Nini umemfanya kijana huyu mpaka kuamua kabisa bora aachane na mpira lakini siyo kufanya kazi na wewe?
NALIA NGWENA nimeweka pembeni ushabiki nimejiuliza sana haya maswali kwa jicho la tatu bila shaka kuna kitu kikubwa nyuma ya pazia na bwana mdogo Feisal Salumu anafukia (anaficha) hataki kuweka wazi.
NALIA NGWENA nitafurahi sana kama Eng HersI utakuja hadharani kuzungumza nini ulichomfanya Feisal lakini usipojibu mashabiki tutabaki na mashaka makubwa na kuwa wachezaji wetu huko avic town Kuna Mambo ya ajabu wanafanyiwa.
Nawasilisha hoja.
Noted [emoji3578]Nataka nikufahamisheni kuhusu wa Zanzibari
Wazanzibari wakweli usiwachezee kwenye utu wawo.
Mfano kaja kuomba chakula ananjaa, kama utampa chakula na kumtupia chini sahani basi atakuwachia mwenyewe chakula chako na ataondoka na njaa yake hatokula.
Huwezi kumnyanyasa mzanzibari katika utu wake.
Feisal kadhalilishwa utu wake dio maana bora umaskini kuliko kurudi yanga ikiwa walomdhalilisha wapo bado.
Yanga hawamhitaji Feisal kwanini wanamzuwiya? wamefika Final bila ya feisal. Lakini chiyo sababu hawataki timu ingine imchukuwe akaja kuwapa taabu.
Bega kwa bega na wewe, kwa.mimi hata akitoa maelezo.bado sitamuamini nitabaki na yangu ninayoyawaza basi, haiwezekani kijana aumie namna hiiFeisal hana bifu na Yanga bali ana bifu binafsi na kiongozi wa Yanga (Eng Hers).
Je Umechukua mchumba wake (mpenzi) wake?
Nini umemfanya kijana huyu mpaka kuamua kabisa bora aachane na mpira lakini siyo kufanya kazi na wewe?
NALIA NGWENA nimeweka pembeni ushabiki nimejiuliza sana haya maswali kwa jicho la tatu bila shaka kuna kitu kikubwa nyuma ya pazia na bwana mdogo Feisal Salumu anafukia (anaficha) hataki kuweka wazi.
NALIA NGWENA nitafurahi sana kama Eng HersI utakuja hadharani kuzungumza nini ulichomfanya Feisal lakini usipojibu mashabiki tutabaki na mashaka makubwa na kuwa wachezaji wetu huko avic town Kuna Mambo ya ajabu wanafanyiwa.
Nawasilisha hoja.
Urojo unawachanganya mnaleta ubishi wa kipemba?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umevurugwaaa?? Hebu relaaaaaaxx