Eng Hersi Said Simamia Misingi ya Kanuni na Sheria za Mpira. Mshauri Rais Samia asivuke Mipaka

Kaona mpemba mwenzake anaathirika mjini akamsemea unadhani angekuwa anaitwa Magigi Ng'wanampilimbi Magigi angehangaika nae

Huyo angekula jeuri yake!
 
Utashangaa simba watakavyomdaka fastaaaaaa. Yanga wamepoteza mchezaji kizembe kweli alafu mambo ya chuki zisizo na msingi ukimuangalia herisi anavyojifanya mpole nyoooo kumbe kashetani tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wasomalii mchezooo?? Uwiiii
Kakutana na wapemba, wana mnyoosha.
 
Nyie si mlisema Fei ana haki sasa hamuoni umuhimu wa kutafuta haki kwenye mamlaka za kisoka ili waliomfanyia dhuluma waadabishwe ?
Ikiwa ipo namna fupi ya kuipata haki, hakuna haja ya kuifata ile ndefu maana zote zinaishia sehemu moja.

Hizo ni hesabu za kawaida kabisa.
 
kategwa,kategeka, chezea muhimili uliochimbia chini nyinyieee....na asitekeleze kile alichoambiwa Mama tuone mwisho wake.
Umenikumbusha mbali sana enzi za Mzee baba JPM, alimjibu Mayalla "Mihimili ipo mitatu, ila kuna mmoja umejichimbia chini kuliko mingine"

[emoji23]
 
🤣🤣wakati akipokea ndege ya serikali bure hakuvuka mipaka?wakti akipokea mil 20,ilhal walofungwa nyumban hakuvuka mipaka?puliiizzzz,sikuzote masikini hana sauti,imeisha hiyooo
imeisha kwa wajinga sio kwa mtu smart km injinia...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wasomalii mchezooo?? Uwiiii
Kakutana na wapemba, wana mnyoosha.
Na akileta ujuaji atajikuta karudishwa Mogadishu mtaani kwao kabisa alipozaliwa baba yake mzazi[emoji3][emoji3].Ombi la Mama lazima litekelezwe na mrejesho anausubiri. Wapemba wanaupiga mwingii hadi unamwagikia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari wanajamvi.

Leo amesikika Rais wa Tanzania Akimdadavulia Rais wa Yanga SC Bw Eng Hersi Said kwa lengo la
kumuhimiza ahakikishe Mchezaji Feisal Salum anapata haki yake.

Ninacho fahamu kuwa Mama Samia hana ufahamu sahihi wa kinacho endelea baina ya mgogoro uliopo kati ya Yanga SC na Mchezaji husika. Hisia zake kama Mzanzibar ndizo zimempelekea kusukumwa kutoa mapendekezo yake pasi na kuhitaji kulifahamu zaidi swala hilo.

Ndugu Hersi Said, unapaswa kucheza karata zako makini mno kwenye hilo. Kumbuka Mama Samia ametumia gharama kiduchu sana kwenye kampeni ya zawadi za kila goli, Dinner la Ikulu pampja na usafiri wa ndege. Kumbuka hajafanya haya si kwa mapenzi ya dhati na masuala ya michezo, bali alilenga zaidi kuilaghai taasisi ya michezo ili iache kusimamia misingi ya kisheria na kikanuni ya michezo.

Kwa kawaida, ni muhimu kwa Rais wa nchi kuzingatia majukumu yake kikatiba na kutofautisha majukumu ya mamlaka nyingine za kiserikali na taasisi mbalimbali. Mgogoro kati ya klabu na mchezaji ni suala la kisheria ambalo linapaswa kusuluhishwa na mamlaka husika za sheria na kanuni za michezo.

Rais Samia Anahitaji Elimu zaidi.

Kwa hiyo Rais wa nchi kuingilia kati ktk mgogoro kama huo unaweza kusababisha mchanganyiko wa majukumu na kuingilia uhuru wa mamlaka nyingine. Ni muhimu kwamba kila mamlaka ifanye kazi yake. Kitendo cha Rais kuwapa Incentives mbalimbali basi isiwe sababu ya kuhalalisha kuingiliana ki mamlaka katika mihimili inayo jitegemea kiutendaji.

Rais Samia anahitaji mrejesho, Basi ni wasaa sahihi kuhakikisha anaandikiwa mrejesho wa kumuelimisha kuwa masuala ya migogoro ya kisoka/kimpira yana namna yake ya kutatuliwa. Muelewesheni kuwa zipo sababu za msingi kwanini hili suala linakawia kufikiwa tamati.

Ni vyema akafahamu kuwa uvunjwaji wa taratibu na mchezaji yeyote wa klabu ni lazima kuadhibiwe pasi na kujali kama huyu ni mchezaji wa kizanzibar, wa bara au wa kimataifa. Na hukumu kwa mchezaji wa namna hiyo hautotokwa kwa upendelea wa kibusara eti kwa kisingizio kuwa mchezaji ni mzawa au la.

Mshaurini Rais kuwa licha ya kuyafurahia mafanikio haya madogo ya klabu, kuna watu nyuma ya pazia ambao wanawekeza pesa zao na wasingependa kuona wanapata hasara ktk biashara ya mauzo ya wachezaji. Tukiruhusu kuingilia maamuzi ya taasisi huru ambazo zina sheria zake za usuluhishi basi tunajiweka katika nafasi ya kuwafukuza wawekezaji aina ya wakina GSM na Mo Dewji katika mpira wa Tanzania.

Kuna madhara makubwa sana endapo klabu kama klabu itashindwa kusimamia misingi ya taratibu zake na kusuluhisha migogoro na kesi za kimpira kwa kutumia tu mapendekezo ya wana siasa. Je Mama Samia anatoa ushauri kama nani? Je ni kama mtu mwenye ufahamu wa kanuni na taratibu za uendeshaji wa mpira? au Kama

bali alilenga zaidi kuilaghai taasisi ya michezo ili iache kusimamia misingi ya kisheria na kikanuni ya michezo.
 
Hata Marekani ana sera ya kutoongea na magaidi ila panapo maslahi makubwa kwake hua anapindisha huu msimamo thats why alizungumza na Taliban nchini UAE. So kama kumsamehe Feisal Hersi anapata lile eneo katikati ya mji wa Daslam basi hilo lifanyike haraka
 
Ikiwa ipo namna fupi ya kuipata haki, hakuna haja ya kuifata ile ndefu maana zote zinaishia sehemu moja.

Hizo ni hesabu za kawaida kabisa.
Hii ni hesabu za mbovu watu intelligent hawawezi kuwa na hesabu kama hizo ,mfano unadai hela yako ukazungushwa mdaiwa anadai wewe tapeli haumdai ila mwisho wa picha baada ya shinikizo au sababu zozote binafsi anaamua kukupa pesa akidai kuwa amekuonea huruma kwa vile unadhiki.

Je ,ni Sawa kuridhia kwa vile umempata haki yako huku bado shutuma zimebaki ? mimi nisingekubali kulipwa mpaka akiri hadharani kuwa mimi sio tapeli na yeye ni mkosaji hapo nitakubali kupewa haki yangu.
 
Kama ni jambo la kisheria na Hersi anaifata basi angemuambia Raisi kuwa lile ni jambo la kisheria tuone inakuwaje.

Usizungumzie kitu kuhusu busara ambazo huko nyuma zilijatibu kutumika na hazikuweza kuleta matunda yeyote.

Tuone hiyo sheria yenu ina nguvu kiasi gani kwenye agizo la Raisi.

Hawana cha Sheria. Wa TZD ni wabishi wabishi sana.

Maagizo ya Rais ni wao wakae kwenye meza na wa sort out ASAP.

Hizo sheria za mikataba na blah blah nyingine wabaki nazo wao.

Hersi bado ni mchanga sana kwenye governance ya nchi hii, Hana impact yoyote ; anaweza kupandishwa na kushushwa kwa kadiri inavyotakikana.

Ajifunze kutofautisha kati ya hisia na sheria na maagizo ya mamlaka.

He is not a robot ...... kwamba sheria inasema hivi au vile : he has to use his mind properly on how to balance and handle things.

Or else , Machaguo ni yake.
 
Habari wanajamvi.

Leo amesikika Rais wa Tanzania Akimdadavulia Rais wa Yanga SC Bw Eng Hersi Said kwa lengo la
kumuhimiza ahakikishe Mchezaji Feisal Salum anapata haki yake.

Ninacho fahamu kuwa Mama Samia hana ufahamu sahihi wa kinacho endelea baina ya mgogoro uliopo kati ya Yanga SC na Mchezaji husika. Hisia zake kama Mzanzibar ndizo zimempelekea kusukumwa kutoa mapendekezo yake pasi na kuhitaji kulifahamu zaidi swala hilo.

Ndugu Hersi Said, unapaswa kucheza karata zako makini mno kwenye hilo. Kumbuka Mama Samia ametumia gharama kiduchu sana kwenye kampeni ya zawadi za kila goli, Dinner la Ikulu pampja na usafiri wa ndege. Kumbuka hajafanya haya si kwa mapenzi ya dhati na masuala ya michezo, bali alilenga zaidi kuilaghai taasisi ya michezo ili iache kusimamia misingi ya kisheria na kikanuni ya michezo.

Kwa kawaida, ni muhimu kwa Rais wa nchi kuzingatia majukumu yake kikatiba na kutofautisha majukumu ya mamlaka nyingine za kiserikali na taasisi mbalimbali. Mgogoro kati ya klabu na mchezaji ni suala la kisheria ambalo linapaswa kusuluhishwa na mamlaka husika za sheria na kanuni za michezo.

Rais Samia Anahitaji Elimu zaidi.

Kwa hiyo Rais wa nchi kuingilia kati ktk mgogoro kama huo unaweza kusababisha mchanganyiko wa majukumu na kuingilia uhuru wa mamlaka nyingine. Ni muhimu kwamba kila mamlaka ifanye kazi yake. Kitendo cha Rais kuwapa Incentives mbalimbali basi isiwe sababu ya kuhalalisha kuingiliana ki mamlaka katika mihimili inayo jitegemea kiutendaji.

Rais Samia anahitaji mrejesho, Basi ni wasaa sahihi kuhakikisha anaandikiwa mrejesho wa kumuelimisha kuwa masuala ya migogoro ya kisoka/kimpira yana namna yake ya kutatuliwa. Muelewesheni kuwa zipo sababu za msingi kwanini hili suala linakawia kufikiwa tamati.

Ni vyema akafahamu kuwa uvunjwaji wa taratibu na mchezaji yeyote wa klabu ni lazima kuadhibiwe pasi na kujali kama huyu ni mchezaji wa kizanzibar, wa bara au wa kimataifa. Na hukumu kwa mchezaji wa namna hiyo hautotokwa kwa upendelea wa kibusara eti kwa kisingizio kuwa mchezaji ni mzawa au la.

Mshaurini Rais kuwa licha ya kuyafurahia mafanikio haya madogo ya klabu, kuna watu nyuma ya pazia ambao wanawekeza pesa zao na wasingependa kuona wanapata hasara ktk biashara ya mauzo ya wachezaji. Tukiruhusu kuingilia maamuzi ya taasisi huru ambazo zina sheria zake za usuluhishi basi tunajiweka katika nafasi ya kuwafukuza wawekezaji aina ya wakina GSM na Mo Dewji katika mpira wa Tanzania.

Kuna madhara makubwa sana endapo klabu kama klabu itashindwa kusimamia misingi ya taratibu zake na kusuluhisha migogoro na kesi za kimpira kwa kutumia tu mapendekezo ya wana siasa. Je Mama Samia anatoa ushauri kama nani? Je ni kama mtu mwenye ufahamu wa kanuni na taratibu za uendeshaji wa mpira? au Kama
Upendeleo kwa wazanzibari unampofusha, hakika hafai kura kiongozi wa jamuhuri ya muungano
 
Mualiko wa ikulu umekua mchunguu, pilau limegeuka boko boko.

Sahivi ndo mnajua serikali haitakiwi kujihusisha na masuala ya soka? Alipokua anatoa ndege ya serikali buree? Na gharama zote zile? Mbna mlikua hamu muambii hilo??

Tulieni dawa iwaingie vizuriii, na ameshasema hivyoo, kinachotakiwa ni utekelezaji tyuuh.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] patamu hapoooo.
Wewe ni shabiki wa Simba bila shaka!
 
Back
Top Bottom