Eng Hersi Saidi: Anayemtaka aje mezani hatumtaki, Sasa tunamuuza

Fundi kipara

Senior Member
Joined
Oct 27, 2019
Posts
125
Reaction score
247
ANAYEMTAKA AJE MEZANI🤣🤣.

Simba sc walikusudia wawe mabingwa msimu huu kwa hali na mali. Wakaona Yanga inatembea tu.

Simba SC wakafanya kikao kukaribia mechi ya YANGA na Azam. Kwa kumtumia Mtu wa karibu na Feisal wakasemezana na kushirikiana na dada zao Azam Fc "Inabidi tuwachanganye Yanga kuelekea mechi ya Azam.

Akadanganywa mtoto kuwa atafanyiwa Practical Mwezini kwa sababu huko hakuna kambi za Osama,
Hapo yanga watachanganyikiwa na hyo mechi Azam mtashinda.

Kuanzia hapo Sisi simba sc tutapita na kuchukua ubingwa.Wakawatumia WACHAMBUZI wa mchongo ili Wawachanganye zaidi mashabiki wa yanga ,benchi na uongozi kwa ujumla😝

Yanga watagoma kumuachia kwa sababu ya mkataba,nawe goma kurudi na kumbuka Wewe ndo injini yao pale watatetereka tu tutachukua ubingwa tuwafurahishe DUNDUKA wetu,wewe ndo unaamua matokeo mengi ya Yanga.

Wakati wanafanya hvyo pengo la points lilikuwa5️⃣ sasa ni 8️⃣.
🤣

Sisi ndo yanga sc tulioshiriki kupigania uhuru wa nchi hii. Ukijua hivi sisi tunajua vile.
NA RAIS KATANGAZA KUMUUZA SASA KAONA HANA FAIDA TENA🏃‍♂️🏃‍♂️

Makolo + Madunduka Pesa Mnayo?😂
 
'Injinia Wa Mchongo Mnafiki...

Utatangazaje Biashara Wakati Dirisha dogo Limefungwa?

Kama Hela Zenu mlizoandika ndani Ya Mkataba ndogo Kajichanga Kalipa...

Dogo Kaitumikia Vizuri timu Fadhila Zenu ni Kumkomoa...!
 
Akili za Yanga ni sawa na za Simba.
 
IMG-20230212-WA0019.jpg
 
'Injinia Wa Mchongo Mnafiki...

Utatangazaje Biashara Wakati Dirisha dogo Limefungwa?

Kama Hela Zenu mlizoandika ndani Ya Mkataba ndogo Kajichanga Kalipa...

Dogo Kaitumikia Vizuri timu Fadhila Zenu ni Kumkomoa...!
Dogo ndio hana fadhila,wakati anakuja Yanga alikua anavaa ndala na mshahara wake jku ulikua analipwa laki na nusu,nyumba yao fuoni ilikua ya udongo,leo hii ana nyumba dar nyumba zenj na nyumba ya familia pale fuoni full mageti,zenj anatembelea harrier dar anatembelea crown pambavu halafu leo bila shukran anadai mln 4 ndogo!
 
Shule ni muhimu sana kwa wachezai wetu
Mimi naona shule ni muhimu sana kwa viongozi wa utopolo, wanabebwa sana na TFF, walianza kubebwa Hersi na Manara kwa ile kesi yao mpaka leo kimya, sasa wanabebwa tena kwa hili la Fei.
 
Ubongo wa sisimizi!
 
Mimi naona shule ni muhimu sana kwa viongozi wa utopolo, wanabebwa sana na TFF, walianza kubebwa Hersi na Manara kwa ile kesi yao mpaka leo kimya, sasa wanabebwa tena kwa hili la Fei.
Kuna uwezekano una uhusiano na yule afande wa zenj si kwa pumba unazozitoa
 
Mimi naona shule ni muhimu sana kwa viongozi wa utopolo, wanabebwa sana na TFF, walianza kubebwa Hersi na Manara kwa ile kesi yao mpaka leo kimya, sasa wanabebwa tena kwa hili la Fei.
Wewe ni tahaira aliyekubuhu kaa kimya kuficha ujinga wako muda mwingine, usichokijua usikishobokee utakuja kugeuzwa mke siku moja shauri yako
 
Kama maelezo yatakayotolewa leo yakionekana yanamtetea kwa kiasi fulani, atapata nguvu ya kudai Yanga wamlipe fidia kwa kumkosesha ajira mpya ambayo angepata kama wangeridhia kuondoka kwake wakati wa dirisha dogo. Atadai hata kiwango chake kimeathirika kwa kukaa nje.

Hii kesi ina uwezekano mkubwa wa kufika CAS.
 
'Injinia Wa Mchongo Mnafiki...

Utatangazaje Biashara Wakati Dirisha dogo Limefungwa?

Kama Hela Zenu mlizoandika ndani Ya Mkataba ndogo Kajichanga Kalipa...

Dogo Kaitumikia Vizuri timu Fadhila Zenu ni Kumkomoa...!

Hizi ndo trick za Biashara sasw
 
'Injinia Wa Mchongo Mnafiki...

Utatangazaje Biashara Wakati Dirisha dogo Limefungwa?

Kama Hela Zenu mlizoandika ndani Ya Mkataba ndogo Kajichanga Kalipa.
Usajili ni wakati wowote ule hufanyika. Ila mchezaji atacheza baada ya hilo dirisha kufunguliwa.

Hivyo msiogope kumsajili. Mpeni tu mkataba mnono kwa kufuata taratibu, halafu ataendelea kufanya mazoezi kwenye klabu yenu mpaka mwishoni mwa msimu. Maana hakuna namna nyingine.

Akijifanya kichwa ngumu, ataendelea kupiga misele huki nyumbani kwao Kiembe samaki hadi pale mkataba wake utakapofikia tamati (2024).

Halafu una uhakika kweli hizo hela dogo alijichanga! 🙄
 
ANAYEMTAKA AJE MEZANI🤣🤣.

Simba sc walikusudia wawe mabingwa msimu huu kwa hali na mali. Wakaona Yanga inatembea tu.

Simba SC wakafanya kikao kukaribia mechi ya YANGA na Azam. Kwa kumtumia Mtu wa karibu na Feisal wakasemezana na kushirikiana na dada zao Azam Fc "Inabidi tuwachanganye Yanga kuelekea mechi ya Azam.

Akadanganywa mtoto kuwa atafanyiwa Practical Mwezini kwa sababu huko hakuna kambi za Osama,
Hapo yanga watachanganyikiwa na hyo mechi Azam mtashinda.

Kuanzia hapo Sisi simba sc tutapita na kuchukua ubingwa.Wakawatumia WACHAMBUZI wa mchongo ili Wawachanganye zaidi mashabiki wa yanga ,benchi na uongozi kwa ujumla😝

Yanga watagoma kumuachia kwa sababu ya mkataba,nawe goma kurudi na kumbuka Wewe ndo injini yao pale watatetereka tu tutachukua ubingwa tuwafurahishe DUNDUKA wetu,wewe ndo unaamua matokeo mengi ya Yanga.

Wakati wanafanya hvyo pengo la points lilikuwa5️⃣ sasa ni 8️⃣.
🤣

Sisi ndo yanga sc tulioshiriki kupigania uhuru wa nchi hii. Ukijua hivi sisi tunajua vile.
NA RAIS KATANGAZA KUMUUZA SASA KAONA HANA FAIDA TENA🏃‍♂️🏃‍♂️

Makolo + Madunduka Pesa Mnayo?😂
Nakubaliana na kila ulichokiandika ila habari ya kuiandika Yanga kwa herufi ndogo tutakuja kuzinguana. Sipendi kabisa hiki kitu
 
Back
Top Bottom