Eng Hersi Saidi: Anayemtaka aje mezani hatumtaki, Sasa tunamuuza

Eng Hersi Saidi: Anayemtaka aje mezani hatumtaki, Sasa tunamuuza

Hata kama tuna mapenzi ya SIMBA NA YANGA.

Hatupashwi kuwa vipofu kwa JASHO LA FEI TOTO.

Washabiki ni wanafiki inapokuja issue ni mapenzi tu ya club
 
Hata kama tuna mapenzi ya SIMBA NA YANGA....
Hatupashwi kuwa vipofu kwa JASHO LA FEI TOTO...
Washabiki ni wanafiki inapokuja issue ni mapenzi tu ya club
Lini alikwambia hajalipwa stahiki zake? Mashabiki wa Simba mnakautaahira fulani!
 
'Injinia Wa Mchongo Mnafiki...

Utatangazaje Biashara Wakati Dirisha dogo Limefungwa?

Kama Hela Zenu mlizoandika ndani Ya Mkataba ndogo Kajichanga Kalipa...

Dogo Kaitumikia Vizuri timu Fadhila Zenu ni Kumkomoa...!
Hujui Mpira Kolo Wewe😁
 
Hatimae wanataka kumuuza sasa maana sio kwa kauli ile ya mama kamtaja mungu zaidi ya mara 40
 
Waswahili husema dai chako uonekano mbaya.

Nahisi mbali ya kushikwa maskio na watu lakini bado dogo alichokuwa anaangalia ni maslahi yake....
Mpira hautabiriki.! Nani alitegemea ajibu angeisha mapema hivi..? Kumwangalia fei peke yake ni upumbavu..kuna watu wengi wana vipaji kama yanga kuna Job au Bangala Mbona hawalalamiki, hata kina kaseke hawajawahi lialia eti mshahara mdogo kila mtu analipwa kulingana na uwezo wake sio kuleta ustar mav
 
Usajili ni wakati wowote ule hufanyika. Ila mchezaji atacheza baada ya hilo dirisha kufunguliwa....
Ngoja Sasa tumuone Kama hao Simba au Azam wataenda kumpa hyo 16 anayo taka

Mm naona bwana Tate Ni kheri hata kupoteza ubingwa ila huyo dogo tumkomoe Hadi mwisho jinga sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mpira hautabiriki.! Nani alitegemea ajibu angeisha mapema hivi..? Kumwangalia fei peke yake ni upumbavu..kuna watu wengi wana vipaji kama yanga kuna Job au Bangala Mbona hawalalamiki, hata kina kaseke hawajawahi lialia eti mshahara mdogo kila mtu analipwa kulingana na uwezo wake sio kuleta ustar mav
Mkuu leo Denis Nkane au Kibu wanalipwa kulingana na makubaliano kipindi wanasajiliwa, mwakani viwango bikipanda watataka mishahara mikubwa hata kama mikataba ya awali kwisha?
 
Back
Top Bottom