Eng Hersi Saidi: Anayemtaka aje mezani hatumtaki, Sasa tunamuuza

👇🏾
... mama yake akisema Feisal ameteseka sana huku akiomba TFF itende haki, hapo nikakumbuka habari kuwa ilifikia wakati Feisal anapewa viatu vyote vya kushoto kumbe kweli.
 
Makolo yanazidi kumponza Fei, yanalipa kisasi Cha byuti byuti pale kirumba
 
Ulitaka atembelee makalio kwamba huo mpira anacheza kwa faida ya nini na nani kwa mfano"
Et fadhila pelekeni ujinga huko mnampa hela ya mandazi mara mbili aliwaomba mkae mezani mkamchomolea.
 
'Injinia Wa Mchongo Mnafiki...

Utatangazaje Biashara Wakati Dirisha dogo Limefungwa?

Kama Hela Zenu mlizoandika ndani Ya Mkataba ndogo Kajichanga Kalipa...

Dogo Kaitumikia Vizuri timu Fadhila Zenu ni Kumkomoa...!
Ule mkataba una vipengele vyake mambo ya fadhila peleka udundukani
 
Ulitaka atembelee makalio kwamba huo mpira anacheza kwa faida ya nini na nani kwa mfano"
Et fadhila pelekeni ujinga huko mnampa hela ya mandazi mara mbili aliwaomba mkae mezani mkamchomolea.
Ule ni mkataba sio dayworker bro..lazima vipengele vizingatiwe
 
Hoja ya kipumbavu kabisa.
 
Huyu mama alishindwa kutoa mahitaji kwa mtoto wake ikafikia hatua huyu dogo akawa anaokoteza mtaani kama hana wazazi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ulitaka atembelee makalio kwamba huo mpira anacheza kwa faida ya nini na nani kwa mfano"
Et fadhila pelekeni ujinga huko mnampa hela ya mandazi mara mbili aliwaomba mkae mezani mkamchomolea.
Fei alikua sahihi kudai kuboreshewa mkataba na si yeye tu kila mfanyakazi ana haki ya kudai maslahi zaidi,shida inakuja njia alizotumia,hamna utaratibu wa kudai stahiki au kuvunja mkataba wa namna ile duniani,mnaotetea mjue tu dogo amepotoshwa
 
Ujinga ni kipaji na mleta mada umebarikiwa iko kipaji.
 
Ulitaka atembelee makalio kwamba huo mpira anacheza kwa faida ya nini na nani kwa mfano"
Et fadhila pelekeni ujinga huko mnampa hela ya mandazi mara mbili aliwaomba mkae mezani mkamchomolea.
M.4 kwako ni hela ya maandazi!!?? Kweli JF kila mtu tajiri.
 
'Injinia Wa Mchongo Mnafiki...

Utatangazaje Biashara Wakati Dirisha dogo Limefungwa?

Kama Hela Zenu mlizoandika ndani Ya Mkataba ndogo Kajichanga Kalipa...

Dogo Kaitumikia Vizuri timu Fadhila Zenu ni Kumkomoa...!
MBUMBUMBU WAPUMBAVU SANA....WANASHABIKIA ISSUE YA HUYO PUNGA KWA NGUVU ZOTE...SHENZI TAIPU
 
Mbona Yanga hawasemi ukitaka kuvunja mkataba masharti ni yapi?

Hakuna mkataba unaolamishana utekelezaji kama upande mmoja unaona hauna maslahi.

Ila zinakuwepo fidia ama mazungumzo tena ya marejeo ikibidi kuachana nao.
 
'Injinia Wa Mchongo Mnafiki...

Utatangazaje Biashara Wakati Dirisha dogo Limefungwa?

Kama Hela Zenu mlizoandika ndani Ya Mkataba ndogo Kajichanga Kalipa...

Dogo Kaitumikia Vizuri timu Fadhila Zenu ni Kumkomoa...!
Kajikomoa mwenyewe kwa kushikiwa akili na MADUNDUKA
 
Dogo ndio hana fadhila,wakati anakuja Yanga alikua anavaa ndala na mshahara wake jku ulikua analipwa laki na nusu,nyumba yao fuoni ilikua ya udongo...
Mil4 sio ndogo tatizo akiangalia mchango wake kwa timu na wanacholipwa wakina makambo anaona anapunjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…